Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

Ungemchana tu huyo demu au ungemuita mshikaji kimyakimya akaja ktmaliza kesi au na wewe unataka kuomba lift kupitia hili kosa la shemejio?.

Hapana mkuu wala cwez omba lifti sema nilifadhaika nilishindwa cha kufanya
 
Yan wewe ungekuwa ni mdogo wangu afu nijue ulishuhudia picha kama hiyo afu hukuniambia ningekuchapa makofi. Unajua kabisa anaweza kumuua kaka yako au kumuharibu mtoto kiafya au kisaikolojia wewe ukamwacha tu na kuondoka? Una tofauti gan sasa na huyo shemeji yako?

Mkuu ilikuwa ghafla yaani nilishndwa cha kufanya plus mfadhaiko ndio maana nikashndwa kutoa maamuz sahihi
 
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.

My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii

Dah!!Na mi nikimuona wa kwako sikwambii napiga kimya.
 
je umethibitisha huko guest house kaenda kufanya ngono mkuu? usiwe mtu wa ku assume na kujudge bila uthibitisho. pengine huyo kaka wanafahamiana 2 na wamekuta barabarani na akamwambia niko na mke wangu hapa twende ukamsalimie?
 
Owk lets say kaenda kumsalimia huyo shost .je walisalimiana na kulala wote mpaka leo saa nne asubuhi?
 
Mbona kama umefurahi kwa ulichoona???!!

Lakini kuna fundisho hapo,wakiwa mademu zetu huwa tunawapa sana ride ila tukishaoa ndo hivyo unaagwa wala hujali kama kafika we una zako tu!!!!!!

Usikute na jamaa alikiwa na furaha ya uhuru wa manyani!!!!!

Ila na wewe ni mchawi kwa kukaa kama boga!!!!!
 
Piga kimya mkuu binamutz....hakawii kusema unamtaka.Watu wana mbinu utajikuta unaachwa kwenye mataa
 
Last edited by a moderator:
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.

My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii

Huna msaada wewe na huyo uliemuona hata sio shemeji yaani mke wa rafiki yako maana kweli angekuwa mke wa rafiki yako lazima ungefanya kitu.Uliona tu mama mpitanjia baaaaaaaaaaaasi
 
Mkuu ilikuwa ghafla yaani nilishndwa cha kufanya plus mfadhaiko ndio maana nikashndwa kutoa maamuz sahihi

ulipata mfadhaiko wa nin? Na wewe unammega hûyo shemeji yako kwan?

Sawa at first ulipata mshtuko ila baada ya hapo hukujua chakufanya? Yan ukasubiri had saa 4 ulipomuona shemejio anarud? Kwanin usingemwambia kaka yako mkafatilie hapo lodge baada ya mshtuko kukuisha? Au ndo stor za kusadikika?

BTW wewe bure kabisaa!
 
Siku hz hakuna cha mwanaume wala mwanamke.....wote hawaaminiki tena boys ndo mmezidi ila dem akifanya ndo anaonekana sanaaa.....kiukweli I do hate this habit ya kusalitiana so much yan.....
 
Hapana mkuu wala cwez omba lifti sema nilifadhaika nilishindwa cha kufanya

Hapo umenena mkubwa, vibaya huwa ni kumsingizia mtu lakini kama ni kweli wala usiache kusema ukweli.
 
Nakulaumu sana mkuu. Kwanini umechagua kuwa MNAFIKI? Unanikumbusha ahadi za mwana TANU,''Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko''.
 
kawambwa The Prof akimsalmia si watabadili uwanja kama lengo ni hlo? Na wewe binamutz hebu vaa viatu vya mshkaj wako na uone ungejskiaje utakapokuja kugundua??
 
Last edited by a moderator:
kila kitu anapewaaaa!mambo ya faragha ni siri mkuu na ndio maana wenzetu wmebuni ndoa za mikataba kwakuwa walishaliona hili kuna muda ukifika unakuta kila mmoja anamkinahi mwenzake na ndo hilo sasa unakuta mume anagawa bastola mke kifuu kinakunwa na kila mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom