mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.
My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii
My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii