tumuachie Mungu haya hili jambo maana ndie aliyeleta vyote hivi ajua yote sisi si kitu kwake hata tukijificha maana hatujui wanawake wanapozalishwa nini kinafanyika
Me nafikiri unapoona mkeo mjamzito na siku zinaanza kukaribia za kujifungua huna budi kuwa na maandalizi ya mwanzo na kuwa na wazo hospitali ipi atakwenda kujifungulia...vitu vizuri vinahitaji gharama, swala la undugu do not entertain and don't escape the cost in life
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.