kwa mfano.........wewe ungefanyaje?

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
kwa mfano,mke wako ni mjamzito,na anakaribia kujifungua....na una rafiki yako wa karibu/au ndugu yako ambaye ni daktari/mtaalamu wa uzazi ambaye anaweza kumshughulikia mke wako wakati wa ujauzito....je kipi ni bora,kumpa support rafiki yako, au kumpeleka sehemu nyingine?....na je kunakuwa na faida na hasara gani juu ya hili?....asanteni,,,,,,nawakilisha
 
pamoja na kiapo cha usiri cha madaktari wapo madaktari kibao wanatoa siri za wagonjwa tena wengine wako close na familia,peleka mkeo katika hospital za kawaida,achana na madaktari ndugu.
 
Kweli, mimi ni doctor wa akina mama kama kuna anayehitaji msaada karibu tafadhali
 
kwa hali ya hospitali zetu vilivyo yaani uhaba wa vifaatiba na wataalam ni heri daktari ndugu au rafiki ili mradi awe na uwezo wa kuimudu case hiyo.
 
Na ukaweza kufanya shughuli bila kuwa distracted???

Umenifanya nikumbuke kitu fulani, siku najifungua golini alikwepo Dr. mshkaji wa baba mtoto..ilienda vizuri sema hii ilikuwa coincidence hatukupanga.
Mpe tafu rafiki/ ndugu yako amhudumie mkeo.
 
Ni ukweli mkubwa kuwa first thing ni the best availlable doctor, But then aibu ya mkeo kumvulia nguo rafikiyo/nduguyo nadhani inaweza at some point kuinterfere na shughuli yenyewe na kuweka maisha ya mtoto au mkeo hatarini.

Pia for the sake of argument kama hilo linaepukika why try it? kama haliepukiki then what the hek?
 
labda awe specialist.

Ukute ni ki lena bado kina hamu, huwa vinachambua kama pamba kila kiungo kinawekwa meza tofauti, utajuuuuuta kukifahamu.

Nitakuja,ni-PM namba yako nikutafute!
 
Duh hii ishu ni ngumu sana kuitolea maamuzi bila kuwa katika hali husika. Ni rahisi sana kwa sasa hvi kusema hapana, lakini wakati umebanwa huenda huyo mtu wako wa karibu ndiye anayeweza kuwa msaada wa pekee uliopo utafanyaje? Well acha rafiki suppose huyo daktari ni kaka/mdogo wako?
 
Duh hii ishu ni ngumu sana kuitolea maamuzi bila kuwa katika hali husika. Ni rahisi sana kwa sasa hvi kusema hapana, lakini wakati umebanwa huenda huyo mtu wako wa karibu ndiye anayeweza kuwa msaada wa pekee uliopo utafanyaje? Well acha rafiki suppose huyo daktari ni kaka/mdogo wako?
Bora kaka/mdogo wako kuliko rafiki. Hata hivyo kama hakuna option nyingine nitafanya tu hivyo japo kwa shingo upande.
 
daaah shem wangu achungulie na kujua ramani ya k yangu ..hapana kwa kweli..

we sema maneno yooote ukishashikwa na uchungu utampanulia tu dokta,hata kama lilikuwa ni jitu ambalo lilishataka kukubaka!hayo mambo achana nayo Smile,wanaume usione tunakubali tu wake zetu waonwe huko mahali hata kama wao ni madokta ni kishingo upande!we acha tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom