Kwa mfano unaanzaje kumnunulia Demu zawadi!

Kwa mfano unaanzaje kumnunulia Demu zawadi!

Mambo ya kutoa zawadi ili ukubaliwe huna utofauti na jamaa anaye enda kununua bro,Siku hizi ni vua chupi upewe hela au zawad.
 
Acheni ubahili zawadi ni muhimu..inaboresha uhusiano..
 
Wewe huwezi, wengine wanaweza.

Kila mtu afate mambo yake bila kulazimishana...!
 
mimi namaanisha baada ya kukubaliwa sasa wewe hata mtongozo hamna zawadi tu
Heeeee,,, sio ivo,,, kwa mfano sijakutongoza bado ila story mm na wewe zinapanda alafu tupo tunatembea akatokea chinga ile utani utani namwambia chinga embu mpe ajaribu, je utakataa?! Kinakutosha nakununulia,,

[emoji1]
 
Utampaje MTU zawadi ambae hajafanya kitu cha muhimu katika maisha yako ..ni bora umpe mama yako atakuongezea Baraka na mafanikio katika maisha
 
Back
Top Bottom