Kwa 'matusi" haya nampongeza Manji!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
SIO KILA KITU LAZIMA KIFANYWE NA WAKENYA HATA SISI TUNAWEZA,ASANTE SANA YUSUF MANJI KWA KITU KIZURI.

ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE

Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga jana Nov 25, 2011 alifungua Jengo la kibiashara la kisasa la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Odinga (kulia) akiangalia bidhaa za Super Market ya Uchumi inayomilikiwa na Wakenya iliyomo kwenye jengo hilo.... Wahudumu wa mapokezi wa Jengo la Quality Centre, Amina (kushoto) na Zuhura wakiwa na nyuso za tabasamu wakati wakikaribisha wageni wageni

KWA MAPICHA ZAIDI GONGA HAPA,UTAELEWA KWA NINI NAMPONGEZA FISADI HUYU MTOTO​
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/odinga-alivyozindua-jengo-la-quality-centre
 
Manji ni mtanzania acheni ubaguzi wa rangi.hongera sana Manji itasaidia kuongeza nafasi za ajira tanzania.
 
Matusi gani hayo mkuu!mbona hakuna tusi lolote,can you please paraphrase your heading to reflect the message that you had intended to send to us!
 
matusi gani hayo mkuu!mbona hakuna tusi lolote,can you please paraphrase your heading to reflect the message that you had intended to send to us!

aah inanizingua mwanangu i tried a lot,nimechemka!
 
samahani mkuu ni bora ukaedit na uipange isomeke vema

imenishinda nimehangaika sana,kama vipi gonga hapa, http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/odinga-alivyozindua-jengo-la-quality-centre utaisoma fresh....mimi ndio nimeisoma hapo nikamkubali huyu dogo,wengi waizi lakini wameshindwa kufanya kitu kizuri kama hiki,wengine ukitazama vizuri kwenye hizo picha hapo kwenye link utawaona hata aibu hawana nao walijumuika kumsupport dogo wakati wao pesa zao wanafaidi ndugu zao wa iran
 
SIO KILA KITU LAZIMA KIFANYWE NA WAKENYA HATA SISI TUNAWEZA,ASANTE SANA YUSUF MANJI KWA KITU KIZURI.

ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE

Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga jana Nov 25, 2011 alifungua Jengo la kibiashara la kisasa la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Odinga (kulia) akiangalia bidhaa za Super Market ya Uchumi inayomilikiwa na Wakenya iliyomo kwenye jengo hilo.... Wahudumu wa mapokezi wa Jengo la Quality Centre, Amina (kushoto) na Zuhura wakiwa na nyuso za tabasamu wakati wakikaribisha wageni wageni

KWA MAPICHA ZAIDI GONGA HAPA,UTAELEWA KWA NINI NAMPONGEZA FISADI HUYU MTOTO​
ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE - Global Publishers

Mkuu huyu mtu kwa kashfa alizonazo chi hii,sidhani kama kuna lolote la maana la kumpongeza,nimtembelea hiyo link,nimemuona na mshikaji wake Lost la Aiziz alikuwepo nae ndani ya ufunguzi wa jengo ilo
 
Mkuu huyu mtu kwa kashfa alizonazo chi hii,sidhani kama kuna lolote la maana la kumpongeza,nimtembelea hiyo link,nimemuona na mshikaji wake Lost la Aiziz alikuwepo nae ndani ya ufunguzi wa jengo ilo

Lakini umejaribu kujiuliza kuhusu ajira alizozitengeneza kwenye hiyo project???mafisadi wengi tunawajua akiwamo na huyo mmoja aliyeonekana hapo kwenye huo uzinduzi ambae inaaminika ndio fisadi mkuu tanzania,pia wapo kina lowassa na wengine lakini wao ufisadi wao unawanufaisha zaidi watu wa nchi nyingine sio bongo,ndio maana nikasema kwa hili nampongeza sana yusuf,ufisadi wake mbali,nampongeza kwa kufanya kitu kizuri ndani ya ardhi ya Tanzania japo inaonekana waheshimiwa wa bongo kuanzia waziri mkuu,makamu wa rais,spika mpaka rais walimchunia akaamua kumfuata mzee Raila kuwa mgeni rasmi akisindikizwa sio na pinda kama pm mwenzake bali na maalim seif,kweli viongozi wetu wanawaogopa mafisadi mpaka kwenye mambo ya kheri hawataki kuonekana nao hadharani siku hizi!
 
Mzee wa vijisenti ,vijisenti vyake vinanufaisha wathungu huko Ulaya

kweli kabisa tena huyo nilimsahau...wapo kibao ambao pesa zao wanazikimbizia nje lakini wanajisahau yakitokeaga machafuko nchini wazungu zile pesa huwa wanawadhulumu,hasa hawa viongozi wetu huwa wanatia huruma sana account zao zikiwa ceased,mfano mzuri ni wa mobutu wa zaire,sadam husein,ghaddafi,gbagbo n.k.,kwa hili nitaendelea kumsifu manji,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke manji amewazidi kete mafisadi wenzake hapa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom