Raila Odinga na Quality Center | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raila Odinga na Quality Center

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ngoshwe, Nov 26, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [h=3]ODINGA ATUA DAR KUZINDUA QUALITY CENTER[/h]

  [​IMG]
  Bwana Laila Odinga akishuka toka kwenye ndege,pindi alipowasili nchini Tanzania.
  [​IMG]
  Akisalimiana na mwenyeji wake ambaye ni mmiliki wa Quality Centre, Yusuf Manji. Anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq.
  WAZIRI Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, jana jioni alitua hapa nchini kwa ajili ya shughuli za uzinduzi wa jengo la kisasa la biashara la Quality Centre, lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Shughuli hizo hizo zinatarajiwa kuzinduliwa leo asubuhi.


  [FONT=Arial, Tahoma, Helvetica, FreeSans, sans-serif]------------------[/FONT]

  [FONT=Arial, Tahoma, Helvetica, FreeSans, sans-serif]My take: Yawezekana kabisa wakenya wakawa na Hisa hapo Quality Center Mall, ?? Manji hakuona vioongozi mashuhuri ha[pa nchini mpaka amfute Laila Kuzindua??[/FONT]
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  raila odinga atakuwa na hisa Uchumi supermaket iliyopanga kwenye jengo la quality centre
   
Loading...