Kwa 'matusi" haya nampongeza Manji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa 'matusi" haya nampongeza Manji!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KIM KARDASH, Dec 31, 2011.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  SIO KILA KITU LAZIMA KIFANYWE NA WAKENYA HATA SISI TUNAWEZA,ASANTE SANA YUSUF MANJI KWA KITU KIZURI.

  [​IMG]
  ODINGA ALIVYOZINDUA JENGO LA QUALITY CENTRE


  Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga jana Nov 25, 2011 alifungua Jengo la kibiashara la kisasa la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Odinga (kulia) akiangalia bidhaa za Super Market ya Uchumi inayomilikiwa na Wakenya iliyomo kwenye jengo hilo....[​IMG][​IMG][​IMG]Wahudumu wa mapokezi wa Jengo la Quality Centre, Amina (kushoto) na Zuhura wakiwa na nyuso za tabasamu wakati wakikaribisha wageni wageni

  KWA MAPICHA ZAIDI GONGA HAPA,UTAELEWA KWA NINI NAMPONGEZA FISADI HUYU MTOTO​
  http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/odinga-alivyozindua-jengo-la-quality-centre
   
 2. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  samahani mkuu ni bora ukaedit na uipange isomeke vema
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwan manji ni m'b0ngo?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hongera zake hilo jengo ni zaidi ya mlimani city..
   
 5. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Manji ni mtanzania acheni ubaguzi wa rangi.hongera sana Manji itasaidia kuongeza nafasi za ajira tanzania.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Matusi gani hayo mkuu!mbona hakuna tusi lolote,can you please paraphrase your heading to reflect the message that you had intended to send to us!
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ni Meku nasikia
   
 8. K

  KIROJO Senior Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna kitu hapo ni change zetu za BOT
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  manji c mtanzania bhana,hawa wahindi c watanzania
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  aah inanizingua mwanangu i tried a lot,nimechemka!
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  imenishinda nimehangaika sana,kama vipi gonga hapa, http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/odinga-alivyozindua-jengo-la-quality-centre utaisoma fresh....mimi ndio nimeisoma hapo nikamkubali huyu dogo,wengi waizi lakini wameshindwa kufanya kitu kizuri kama hiki,wengine ukitazama vizuri kwenye hizo picha hapo kwenye link utawaona hata aibu hawana nao walijumuika kumsupport dogo wakati wao pesa zao wanafaidi ndugu zao wa iran
   
 12. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bora change zetu zinatumika hapa nchini kuliko zingetumika nje ya nchi.
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,347
  Trophy Points: 280
  Ebana hii kitu yaukweli sana, daily naisomaga pale pande za mtava.
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Dah nilitaka nikugongee like Bahati mbaya natumia simu... Jibu hilo ndio mahala pake..
   
 15. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu huyu mtu kwa kashfa alizonazo chi hii,sidhani kama kuna lolote la maana la kumpongeza,nimtembelea hiyo link,nimemuona na mshikaji wake Lost la Aiziz alikuwepo nae ndani ya ufunguzi wa jengo ilo
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  tantalila
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lakini umejaribu kujiuliza kuhusu ajira alizozitengeneza kwenye hiyo project???mafisadi wengi tunawajua akiwamo na huyo mmoja aliyeonekana hapo kwenye huo uzinduzi ambae inaaminika ndio fisadi mkuu tanzania,pia wapo kina lowassa na wengine lakini wao ufisadi wao unawanufaisha zaidi watu wa nchi nyingine sio bongo,ndio maana nikasema kwa hili nampongeza sana yusuf,ufisadi wake mbali,nampongeza kwa kufanya kitu kizuri ndani ya ardhi ya Tanzania japo inaonekana waheshimiwa wa bongo kuanzia waziri mkuu,makamu wa rais,spika mpaka rais walimchunia akaamua kumfuata mzee Raila kuwa mgeni rasmi akisindikizwa sio na pinda kama pm mwenzake bali na maalim seif,kweli viongozi wetu wanawaogopa mafisadi mpaka kwenye mambo ya kheri hawataki kuonekana nao hadharani siku hizi!
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Mzee wa vijisenti ,vijisenti vyake vinanufaisha wathungu huko Ulaya
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa tena huyo nilimsahau...wapo kibao ambao pesa zao wanazikimbizia nje lakini wanajisahau yakitokeaga machafuko nchini wazungu zile pesa huwa wanawadhulumu,hasa hawa viongozi wetu huwa wanatia huruma sana account zao zikiwa ceased,mfano mzuri ni wa mobutu wa zaire,sadam husein,ghaddafi,gbagbo n.k.,kwa hili nitaendelea kumsifu manji,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke manji amewazidi kete mafisadi wenzake hapa!
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ndio nasikia babake aliisaidia sana serikali ya nyerere wakati wa vita ya "kujitakia" na nduli Idd Amin!
   
Loading...