Kwa matusi haya kamwe sitakusamehe Benjamin Netanyahu

Kwa matusi haya kamwe sitakusamehe Benjamin Netanyahu

Peter W Botha na Netanyahu wote ni wabaguzi
ubaguzi ni asili ya mwanadam
hapa hapa bongo tunabaguana

kenya kuna mgahawa umepiga marufuku watu weusi kuingia na kupata huduma ya chakula
 
Potelea mbali kama si ya Nutsnyahu, ila huyu mtu na kabila lake wabaguzi kweli kweli. Si coincidence kuwa Israel ilikuwa rafiki mkubwa wa apartheid lakini alipokuja Mandela ukafifia. Netanyahu ndiye kiongozi wa dunia mkuu peke ambaye hakuhudhuria mazishi ya Mandela. Mijitu myeusi hata hivyo itamtetea kwa sababu eti mungu wao amewabariki. Nani aliyesema hivyo? Utakuta ni hao hao majews!

niliwahi kupeleka biashara mkoa flani nilibaguliwa kuliko kawaidai
thanks GOD mzigo wangu uliuzika kwa kuwa walikuwa na msimu wa kufungua shule, januari

walinibagua mpaka nikatamani niishi kwa BOTHA

ubaguzi ni asili ya mwanadam...........hata UDSM kuna miaka kama sio wa kozi ya engeer huwi rais wa serikali ya wanafunzi
 
Damn... halafu tunaambiwa Israel ni Taifa la Mungu! Labda mwandishi wa maandiko tunayoaminishwa ni matakatifu alitakiwa kudaclare interests kabla!
 
A Speech made by Netenyahu Israel PM. I quote…”-We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks and Arabs that we are superior people. We have demonstrated that to the blacks and Arabs in 1001 ways.

The State of Israel that we know of-today-has not been created by wishful thinking. We have created it at the expenses of intelligence, sweat and blood………We do not pretend like other whites that we like the blacks.

The fact that, blacks and Arabs look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike.

If God had wanted us to be equal to the blacks and Arabs, he would have created us all of a uniform colour and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled.

Intellectually, we are superior to the Blacks and Arabs; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that a Jew is honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being……By now every one of us has seen it practically that the Blacks and Arabs cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other.

They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Blackman is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn’t it plausible?

Therefore that the Whiteman is created to rule the Blackman……And here is a creature (Blackman) that lacks foresight….. The average Black does not plan his life beyond a year”.

Its a speech by Netanyahu to his cabinet. It was reprinted by Affan Sosibo for the African national Congress youth League on-8th July 2014.

USE YOUR TONGUE TO COUNT YOUR TEETH.

We si nilisikia kuwa ulishaacha Pombe!!! :A S confused:
 
Hii Hotuba mbona inafanana na ya P. W. Botha?

Kusema kweli hii ilikuwa na Hotuba ya P.W.BOTHA, Labda jamaa huyu Affan Sosibo alitaka kuleta utani au kwa kuwa leo ni siku ya wajinga mleta uzi anataka kuchangamsha baraza, Waziri mkuu wa Israel akibahatika kusoma post hii ataburuza mahakamani Affan Sosibo na wamiliki wa JF kwa kusingiziwa mambo ambayo hakuwahi kuyasema.
 
Back
Top Bottom