BUBE
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 845
- 254
Mkuu uko sahihi. Hotuba hii ilitolewa na kaburu akiwabeza ngozi nyeusi! Hii sio ya Netanyahu. Kile ambacho sielewagi, na jinsi gani tunatumia JF kama sehemu ya kueneza propoganda mbalimbali. Ni kweli kuwa JF kama ilivyo kwa mitandao ya kijamii hutumika kuhabarisha, lakini nadhani baadhi ya habari zinatumika ama kuwahamisha watu kutoka kwenye mjadala makini na kuhamia kwingineko. Mfano, mjadala ulioko humu kuhusu Gwajima, umehamisha attention ya wengi kutoka kwenye Katiba na uchaguzi na matokeo tume-focus kwa Gwajima (mtu mmoja tu) badala ya mitazamo mikubwa ya kitaifaHii hotuba ni Botha ila imefanyiwa editing kuongeza waarabu tu..ili kuchochea watu wasio makini na wadadisi kama ww.