Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Wahuni waliopata kusoma bure kuanzia primary hadi chuo kikuu mpaka mafuta ya kujipaka ya shanti walikuwa wanagawiwa bure. Shame on Bana kuwa msalitiJana nimeona matokeo ya vituo vya utawala nikajua kuwa ukitaa kumulika nyoka anzia miguuni kwako na nilikuwa najua kama REDET watakuwa vizuri kazi watakuwa waliianzia pale chuo kwa wanazuoni. Baada ya kuona matokeo nikasema kumbe REDET ni genge la wahuni linaloongozwa na muhuni aliyepata elimu kihuni bensen bana?
Kila siku najiuliza kama Professor anakuwa na njaa kali kiasi cha kupotosha uma ili kujikomba kwa viongozi, kwa kufanya utafiti feki.Wanawezaje kufundisha vijana wanaoweza kujiamini,kujiheshimu na kulinda taaluma zao. Principally mtu kama prof Bana hafai kufundisha chuo kikuu tena.
Na synovate? Genge la...