Elections 2010 Kwa matokeo ya vituo vya chuo kikuu, REDET ni genge la wahuni

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Jana nimeona matokeo ya vituo vya utawala nikajua kuwa ukitaa kumulika nyoka anzia miguuni kwako na nilikuwa najua kama REDET watakuwa vizuri kazi watakuwa waliianzia pale chuo kwa wanazuoni. Baada ya kuona matokeo nikasema kumbe REDET ni genge la wahuni linaloongozwa na muhuni aliyepata elimu kihuni bensen bana?
 
Wahuni waliopata kusoma bure kuanzia primary hadi chuo kikuu mpaka mafuta ya kujipaka ya shanti walikuwa wanagawiwa bure. Shame on Bana kuwa msaliti

Msomi asiye na akili!
Utafiri wa kuunga na plasta haufui dafu mbele ya ukweli!
Na mwaka 2015 ni ushindi wa tsunami!
Tangu lini MUNGU akasimama na wenye hila?
 
hahaha REDET oye
ccm oye
CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!
 
Kila siku najiuliza kama Professor anakuwa na njaa kali kiasi cha kupotosha uma ili kujikomba kwa viongozi, kwa kufanya utafiti feki.Wanawezaje kufundisha vijana wanaoweza kujiamini,kujiheshimu na kulinda taaluma zao. Principally mtu kama prof Bana hafai kufundisha chuo kikuu tena.
 
Wasomi wa ukweli chuo kikuu wamemdhihirishiaezea kuwa yeye sio wa kundi hilo. Vipesa vidogo vidogo vinampotezea utu wake? angekuwa binti je? si angesema ana challenge nyingi ndo maana ana watoto tisa kabla ya ndoa.
 
Kila siku najiuliza kama Professor anakuwa na njaa kali kiasi cha kupotosha uma ili kujikomba kwa viongozi, kwa kufanya utafiti feki.Wanawezaje kufundisha vijana wanaoweza kujiamini,kujiheshimu na kulinda taaluma zao. Principally mtu kama prof Bana hafai kufundisha chuo kikuu tena.

Isituume sana maana walimu wa ukweli wametoa picha, sipendi hata kuiona sura yake kwenye runinga.
 
Na synovate? Genge la...

Hao nao wameibuka tu, mimi nasema redet kwa sababu ipo mahali nyeti, ile university ina watu muhimu saana na wanaochangia kwenye maendeleo ya nchi. hivyo hao wengine najua ni njaa zao sikutaka taswira ya UDSM iwe mbovu
 
kwa hali halisi hata vituo vya pale mitaa ya IKULU JK kaangushwa, mitaa ya usalama wa taifa kijitonyama, mikocheni kule home kwa JK koote kashinda Chadema! hapo imekaaaje? redet na synovate hawakuwahoji hao watu wa karibu na JK pia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom