Kwa matokeo haya, umaarufu uko wapi?

Kwa matokeo haya, umaarufu uko wapi?


Hiyo ndiyo hali halisi, mnatumia nguvu nyingi akili chache !


Hatujakataa uhalisia wa mazingira, na nguvu nyingi tunayotumia ni sababu nyie mmeshikilia dola na mnaitumia visivyo. Ila kwa kura tulizopata na uwepo wenu igumha miaka yote mmeshindwa.
 
Hivi hawa nanihii wa CCM wanalipwa bei gani kwani? wanaongea naniihiiii tupu, yaani kweli CCM bado wana nguvu? Ok, endeleeni kujidanganya hadi siku mnaingia kaburini, si hata mgonjwa anaekaribia kufa huwa hakubali kuwa anakufa hadi pale mwisho? haya mmeshinda nyie but beware that your current victory does not carry seeds for your future defeat..........
 
Kama ni aibu kupata kura 23000 na zaidi kwenye jimbo ambalo hata hawakuwahi kushiriki uchaguzi, bas nakubaliana nawe MBOWE afutwe kazi
Nadhana CCM kuna laana ya kufikiri kwa kutumia masaburi maana hata wenye akili timamu wakiwa ccm hugeuka mbumbumbu,hizo kata 22 awali zilikuwa kwa chama gani? hata pale alipoenda Nepi(Serengeti) kata imeenda Chadema
CCM ni kama mgonjwa anaekaribia kufa,siku akifungua macho anatamba kuwa tayari amepona,kesho yake hoi bin taaban
Tukumbuke CCM baada ya uchaduzi 2011 walitamba kushinda kwa kishindo na kuwaambia wanachama watembee kifua mbele, muda mfupi baadae wakaleta kuvuana magamba.Ni kweli CCM inapumulia mashine na kudhana imeshapona maradhi!

Jamaa wamesambaratishwa vibaya, leo hata gazeti lao la tanzania daima limewatosa kuandika habari zile za kishabiki kwani mambo ni magumu. Mbowe afutwe kazi ameshindwa kukiongoza chama mpaka wanapata aibu hii ya matokeo ya ubunge + madiwani
 
Hivi hawa nanihii wa CCM wanalipwa bei gani kwani? wanaongea naniihiiii tupu, yaani kweli CCM bado wana nguvu? Ok, endeleeni kujidanganya hadi siku mnaingia kaburini, si hata mgonjwa anaekaribia kufa huwa hakubali kuwa anakufa hadi pale mwisho? haya mmeshinda nyie but beware that your current victory does not carry seeds for your future defeat..........

Twajua wote cdm hivi sasa akili zenu hazifanyi kazi tangia jana baada ya matokeo. Poleni nendeni mkaoge maji ya mtoni mtapata akili mpya
 
Kama ni aibu kupata kura 23000 na zaidi kwenye jimbo ambalo hata hawakuwahi kushiriki uchaguzi, bas nakubaliana nawe MBOWE afutwe kazi
Nadhana CCM kuna laana ya kufikiri kwa kutumia masaburi maana hata wenye akili timamu wakiwa ccm hugeuka mbumbumbu,hizo kata 22 awali zilikuwa kwa chama gani? hata pale alipoenda Nepi(Serengeti) kata imeenda Chadema
CCM ni kama mgonjwa anaekaribia kufa,siku akifungua macho anatamba kuwa tayari amepona,kesho yake hoi bin taaban
Tukumbuke CCM baada ya uchaduzi 2011 walitamba kushinda kwa kishindo na kuwaambia wanachama watembee kifua mbele, muda mfupi baadae wakaleta kuvuana magamba.Ni kweli CCM inapumulia mashine na kudhana imeshapona maradhi!

Jana niliongea na kiongozi mmoja wa cdm anasema pigo la igunga ni kubwa bna itawachukua muda kurudi hali ya kawaida kwani nguvu zilizotumika ni kubwa na pesa ni nyingi zilizotumika zipatazo Tshs 1.345 bn . Kwa pesa hizo zaidi ya matawi 300 yangejengwa !
 
takataka!!! Nilikuwa sijui kama hauna akili kiasi hicho
! Duu jamaa uvumilivu ni zero! Kuwa na tabia ya kuhimili mawazo mbadala ya wengine si tu inastawisha mjadala, bali inadumisha demokrasia, haki za binaadamu na kutanua upeo wa fikra. Kumbuka si kila siku ni Jumapili!
 
Safi sana, jibu sahihi kwa wakati na mahali sahihi kabisa
Kama ni aibu kupata kura 23000 na zaidi kwenye jimbo ambalo hata hawakuwahi kushiriki uchaguzi, bas nakubaliana nawe MBOWE afutwe kazi
Nadhana CCM kuna laana ya kufikiri kwa kutumia masaburi maana hata wenye akili timamu wakiwa ccm hugeuka mbumbumbu,hizo kata 22 awali zilikuwa kwa chama gani? hata pale alipoenda Nepi(Serengeti) kata imeenda Chadema
CCM ni kama mgonjwa anaekaribia kufa,siku akifungua macho anatamba kuwa tayari amepona,kesho yake hoi bin taaban
Tukumbuke CCM baada ya uchaduzi 2011 walitamba kushinda kwa kishindo na kuwaambia wanachama watembee kifua mbele, muda mfupi baadae wakaleta kuvuana magamba.Ni kweli CCM inapumulia mashine na kudhana imeshapona maradhi!
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!

We bado kinda sana huelewi chochote kuhusu CCM,umezaliwa juzi ukakuta watu wanaishangilia CCM ukaingia kichwa kichwa na kuanza kushangilia,bila kujua wanachoshangilia,JE UMENUFAIKA NA NINI TOKA CCM?acheni ujinga wa kuwafagilia mafisadi wakati hawawasaidii kitu,we mwenyewe umeshindwa hata kumiliki bajaji na utasaga sana rhumba mshenzi wewe.
 
Hali ni mbaya ndani CDM kwa taarifa zilizopo viongozi wamesambaratika katika group 2, ambapo Group la Zitto lenyewe linasema wazi matokeo yale ni halali wajipange upya, ila lingine wanasema wanaenda mahakamani hapo sasa kazi kwenu cdm ndio gharama za kushindwa hizo

Kuwa shoga sio lazima ujipake lipstik..dalili kama hizi zinakuoambanua wazi kabisa kuwa wewe ni punga
 
Mpwa uko sahihi kabisa ila nimefurahi sana kuwa umesema ni kwasasa tu, that means akili zetu ziko vizuri sana ukilinganisha na za kwenu ambazo ndio hazifanyi kazi kabisa siku zote! na ukitaka kujua hili ni mfano huu wa matokeo ya Igunga, mngekua na akili zinazofanya kazi kama zetu basi ungekubali kuwa pale hamkushinda na kwamba ndio safari ya kaburini inaanza, tusibishane Mpwa huo ndio ukweli, you are paid for this, mimi silipwi kwa kutetea ujinga bali najitolea kusema ukweli na kweli itatuweka huru
Twajua wote cdm hivi sasa akili zenu hazifanyi kazi tangia jana baada ya matokeo. Poleni nendeni mkaoge maji ya mtoni mtapata akili mpya
 
hapana twende nao taratibu tu kwanza, atatuelewa Mpwa, twende nae mdogo mdogo tu
Kuwa shoga sio lazima ujipake lipstik..dalili kama hizi zinakuoambanua wazi kabisa kuwa wewe ni punga
 
Kuwa shoga sio lazima ujipake lipstik..dalili kama hizi zinakuoambanua wazi kabisa kuwa wewe ni punga

Shoga ni CCM au CDM sasa ? ya igunga yanaonyesha kabisa nani ni shoga including wanachama + wapenzi
 
Nilikuwa napita tu, na kuangalia huumjadala. Hata hivyo nimeshituka na kwa kuwa kuuliza si ujinga, naomba kuelimishwa, hivi FaizaFoxy na GeniusBrain ni couple (mme na mke), makada wa Chama Tawala au ni mapacha??? Nauliza hivi kwa sababu naona majambo na mawazo yao yanarandana. Kama tashwishwi yangu imewakwaza mnisamehe. Asante.
 
Mpwa uko sahihi kabisa ila nimefurahi sana kuwa umesema ni kwasasa tu, that means akili zetu ziko vizuri sana ukilinganisha na za kwenu ambazo ndio hazifanyi kazi kabisa siku zote! na ukitaka kujua hili ni mfano huu wa matokeo ya Igunga, mngekua na akili zinazofanya kazi kama zetu basi ungekubali kuwa pale hamkushinda na kwamba ndio safari ya kaburini inaanza, tusibishane Mpwa huo ndio ukweli, you are paid for this, mimi silipwi kwa kutetea ujinga bali najitolea kusema ukweli na kweli itatuweka huru

Nakupongeza kwa kukubali akili zenu haziko sawa hivi sasa , ndio maana mnajibu kwa jazba na matusi . Na nadhani akili yako hata hapa tunavyoongea haiko sawa na hujui usemalo, sasa chama gani kilishinda igunga ? mkuu kapumzikeni !
 
Nilikuwa napita tu, na kuangalia huumjadala. Hata hivyo nimeshituka na kwa kuwa kuuliza si ujinga, naomba kuelimishwa, hivi FaizaFoxy na GeniusBrain ni couple (mme na mke), makada wa Chama Tawala au ni mapacha??? Nauliza hivi kwa sababu naona majambo na mawazo yao yanarandana. Kama tashwishwi yangu imewakwaza mnisamehe. Asante.

Mama mdogo na GeniusBrain ndio mke na mume !
 
Huyu Jamaa nina mashaka sana na uwezo wake wa kufikiri,au ndio kufikiri kwa kutumia masaburi huko,unajaza kwenye blog yote wewe tu,acha hizo hata kama ni mfurukutwa jaribu kuwa na akili kidogo au we ni nepi nini?
 
Back
Top Bottom