Kwa matokeo haya nimshauri nini dogo

Kwa matokeo haya nimshauri nini dogo

Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Akienda uko kurudi hai Ni 50/50
M23 wanaupiga mwingi sana uko goma[emoji4]
[emoji38][emoji38][emoji38] hii comment imenichekesha sana,kwamba M23 hawana utani wanapiga vyuma hatari
 
Hatari hako kauniform sasa,suruali imebanwaa imekuwa kama mfuko wa gita.
[emoji38][emoji38] hawa madogo ukishaona muda wote ni stori za wakina kondeboy na wasafi alafu wakiandika text zao huwa wanaandika "xaxa,inakuaj,oy bro,mixhe vp,pw," hapo hesabu maumivu
 
Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee wake kwa hilo aligoma .Option ikawa aende JKT ili asipoteze muda bure ,bahati nzuri akapata ajira ya upolisi ila kwa navyouona muelekeo wake huyu atanunua vyombo vyake vya udj na kuliendeleza.

Bora yeye anajua anapenda ni. Watoto wengine hawajui kitu mpaka waamuliwe nin
 
Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom