Kwa matokeo haya nimshauri nini dogo

Kwa matokeo haya nimshauri nini dogo

Mkuu mpe kirikuuu...na umsimamie haswa....utakuja kunishukuru badae...na pengine akawa ndio msaada kwa wadogo zake na marafik zake watakuja kumuogopa baadae kwa ukwas alio kuwa nao baada ya miaka 5...bora hta huyo...wangu kazungusha 360 nyuz...hapa ndio namjazia mafuta...apambane
Hhhhhhhhhh mjazie mafuta tu mkuu
 
Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.
Hhhhhhhhhhhhhhhhhh bure kabisaaa uyoo
 
Vyuo vya afya na matokeo hayo inabidi asome apige msuli zaidi ya hapo hata X10 yake. Vyuo vya afya kila siku wizara inakuja na mbinu mpya mitihan migumu leseni ndio usiseme mwaka watu wamezungua kinoma paper lilikunjwa.
Bora aende kusomea biashara, JKT
Au kama mnauwezo mfungulieni biashara mkimsimamia.
 
Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.
Mngempa anachohitaji mkuu na mnemuongoza sawasawa, may be angefanya vema na leo angekuwa kama wakina Dj Mafuvu, Ommy crazy, D Ommy etc.. kila siku show
 
Mngempa anachohitaji mkuu na mnemuongoza sawasawa, may be angefanya vema na leo angekuwa kama wakina Dj Mafuvu, Ommy crazy, D Ommy etc.. kila siku show
Mzee wake kwa hilo aligoma .Option ikawa aende JKT ili asipoteze muda bure ,bahati nzuri akapata ajira ya upolisi ila kwa navyouona muelekeo wake huyu atanunua vyombo vyake vya udj na kuliendeleza.
 
CIV - D
GEO- D
ENG- D
KISW- C
CHEM-D
BIO- D

Kama mnavyoona wakuu hayo matokeo ndo all the hardwork dogo ka score hapo

Mwenyewe anataka aende chuo kusomea afya aanze na certificate

Naomba ushauri wenu wadau muhimu sna
Kama unauwezo mpeleke chuo cha afya private akijielewa ata toboaa tuuu

Private kwasababu serikalini Hata weza kupata
 
Alaf hakuna uhisiano Sana Kati ya kufaulu form 4 na chuo
Chuo nijitihada za mtu.tuu
Kunawatu walikuja na1:7 na wakapata repeate module

Akitia nia atapata njia
 
Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]afande wa bongo fleva
 
sasa kuwa Polisi huoni ameshatoka kwenye utegemezi wa Familia??hapo atafute connection tu apate nafasi ya kwenda kulinda amani nje huko,akirudi anakuwa ameshatoboa maana kule wanalipwa USD
Akienda uko kurudi hai Ni 50/50
M23 wanaupiga mwingi sana uko goma[emoji4]
 
It's not a laughing matter, inauma. Sema sasa hata sisi wazazi tulikuwa vilaza tu, tusiwacheke sana, tuwasaidie wapate mwanga...
 
CIV - D
GEO- D
ENG- D
KISW- C
CHEM-D
BIO- D

Kama mnavyoona wakuu hayo matokeo ndo all the hardwork dogo ka score hapo

Mwenyewe anataka aende chuo kusomea afya aanze na certificate

Naomba ushauri wenu wadau muhimu sna
Hizi ndo requirement za nursing
 
Attachments

  • _nursing.jpg
    _nursing.jpg
    43.3 KB · Views: 17
Back
Top Bottom