EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,312
- 13,966
Kama ulikuwepo mzee wake alimpambania sana kijana wake.Sisi wengine ilikuwa ushauri wa maneno tu zikija habari za kutoa posho hatuonekani.haha hio udj mimi ndio inanifurahisha duh mtihani wa watoto huu hapo lazima busara ya wazaz hasa baba ilitumika yan kama naona baba alivyoamua kama nguzo ya familia