Kwa matokeo haya nimshauri nini dogo

Kwa matokeo haya nimshauri nini dogo

bluejoy

Senior Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
178
Reaction score
461
CIV - D
GEO- D
ENG- D
KISW- C
CHEM-D
BIO- D

Kama mnavyoona wakuu hayo matokeo ndo all the hardwork dogo ka score hapo

Mwenyewe anataka aende chuo kusomea afya aanze na certificate

Naomba ushauri wenu wadau muhimu sna
 
Kwa akili hizo asiende afya atakuja kutuchoma sindano za ng'ombe, mpeleke cbe akasomee biashara
 
CIV - D
GEO- D
ENG- D
KISW- C
CHEM-D
BIO- D

Kama mnavyoona wakuu hayo matokeo ndo all the hardwork dogo ka score hapo

Mwenyewe anataka aende chuo kusomea afya aanze na certificate

Naomba ushauri wenu wadau muhimu sna
Aanzie certificate biashara au kilimo.
 
Mkuu mpe kirikuuu...na umsimamie haswa....utakuja kunishukuru badae...na pengine akawa ndio msaada kwa wadogo zake na marafik zake watakuja kumuogopa baadae kwa ukwas alio kuwa nao baada ya miaka 5...bora hta huyo...wangu kazungusha 360 nyuz...hapa ndio namjazia mafuta...apambane
 
Msikilize na yeye anataka nini kuna dogo mmoja alitusumbua .Akatafutiwa chuo akalipiwa na hostel siku ya kwenda akagoma .Akadai yeye anataka Udj na utangazaji.Bahati nzuri wakalitupa JKT sasa hivi ni lipolisi .Kutwaa kumposti Konde boy.Bure kabisa.
 
🤣🤣🤣🤣
 
sasa kuwa Polisi huoni ameshatoka kwenye utegemezi wa Familia??hapo atafute connection tu apate nafasi ya kwenda kulinda amani nje huko,akirudi anakuwa ameshatoboa maana kule wanalipwa USD
 
Ilikuwa kali ya mwaka dogo anadai haendi popote ,kusoma sio kitu chake anataka Udj na utangazaji baasi.
haha hio udj mimi ndio inanifurahisha duh mtihani wa watoto huu hapo lazima busara ya wazaz hasa baba ilitumika yan kama naona baba alivyoamua kama nguzo ya familia
 
Back
Top Bottom