Unashindwa hata kutafuta average GPA yako? Chukua GPA za miaka yote, jumlisha. Kisha gawanya kwa idadi ya semester.
Utapata Overall GPA.
Mostly, wanataka uwe na 3.8 GPA and above kwenye Undergraduate.
Ukimaliza wewe kasome Masters. Utafute GPA ya 4.0+. Utakuwa na uhakika zaidii.
Lakini zaidi uwe competent to deliver. Unakuwa na GPA mlima, ila uwezo wako wa kudeliver maarifa uliyonayo ni mdogo, hutopata kazi hiyo.
I once overheard the Minister of Education asserting that a GPA should not be the sole, obligatory requirement for someone to assume the role of a lecturer, or similar positions. Instead, the paramount criterion should be an individual's capacity to impart knowledge effectively.
Therefore, focus on honing your ability to communicate and share knowledge, rather than dedicating the majority of your time to fretting over your GPA.