Kwa matendo yake namchukia huyu mwanaume

PENDEZA SANA
TAFUTA HELA SANA
TUMIA HELA YAKE SANA.yani hii mpka aombe POOH!
LEA WANAO VIZURI SANA
TAFUTA KITU CHA KUSOMA/KUFANYA BIASHARA SANA!
 
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani
familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.

kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili

Nyinyi ndo mnaogopesha watu kwenda kuoa migombani,kila siku kuna thread za watu kuomba ushauri wa kuoa huko.
Wewe kisaikolojia umeshaamua kuondoka ila unatafuta justification kutoka kwa wana jamvi!all the best huko uendako na upate mwanaume asiye cheat na mwenye kipato.
 
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.

kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili

Mjukuu wangu Mankaa
Hapo kwenye bold:
Kama unachosema ni sahihi kabisa humsingizii mwenzako, umekosea kidogo ulitakiwa hiyo hela uwe umeshaiweka kwenye investment tayari, au itabidi ufanye hivyo na uhakikishe kuwa hiyo investment imesimama vizuri kabisa kwanza, kabla huja-reveal kitu chochote kwake. Na kuanzia sasa inabidi ukae kimya, win actions and not words.
Kama unamsingizia pengine labda kutokana na sababu ambazo unazijua wewe na ambazo huwezi kuzitaja kwa ufasaha hapa jukwaani, be sure kwamba itakuja kula kwako vizuri mno tena muda siyo mrefu. In any case, be careful with your actions. Kila la kheri
 
Dadangu pole sana,lkn kumbuka kuwa mlipoanza na vile ulivyo ahidi moyoni mwako, si ajabu ulijiahidi kuwa hutamuacha ataiweje, na ndio maana ukamvumilia toka kwenye maisha ya chini hadi hapo mlipofika, tumia busara kurekebisha mambo na muombe Mungu. Ya wezekana kuna watu wenye matatizo zaidi ya hayo ndg yangu na kuanzisha mahusiano mengine ya weza kua hatari zaidi.MKALISHE CHINI MUELEZE HISIA ZAKO NA USIMFICHE. Pole sana ndio changamoto za maisha haupo peke yako.
 
tumia akili ya kuzaliwa atabadilika tu ukitaka kushindana nae utatumbukia mtoni wewe na kuendelea kumuona mwenzio anakwenda mbele
 
Una uhakika ni kweli anakucheat? Mwanamke yeyote akipewa lift kwenye gari manake ni kuwa anatembea na mumeo? Unajitia wazimu wa bure wewe!

Badala ya kufilisi biashara ungefile divorce mkagawana mali pasu pasu ukaishi mwenyewe. Ila utajiua kwa presha. Maisha ya kila ukiona mtu anaongea na mwanamke ama kampa lift unaconclude ni stress balaa.
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.

kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili
 
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.

kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili

Bora uondoke tu dada..iv unajua kuendelea kukaa na huyo mtu ni hatari sana,epuka mtandao wa ukimwi haraka sana
 
godoro-la-comfy
wewe ni ke au me?
Samahani nimechakachua thread...

Hahahaa unapoamua kuwa mwongo afu kumbukumbu zako zikawa kama fom foo ya 2012 ujue una tatizo kubwa.

Vinginevyo usagaji acha tu uhalalishwe. Jana tu kajambiwa na mkewe leo kashatuvalia bikini.

MMU imeingiliwa na vitoto na bahati mbaya sana vitoto vyenyewe ni vya fom foo ya 2012. Akili ziko kwenye njia panda ya mas.aburini.

Ukinionea Heaven on earth mwambie namsalimu eti.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom