Kwa Marafiki wote..Dont Miss!!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,389
Mualiko wa KRISMASI:
Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya KRISMASI nyumbani kwetu, Nakutegemea kama Rafiki wa karibu, Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho alafu chukua magari ya Pugu kajiungeni shuka mwisho wa gari af panda vigari vya kwenda kisarawe teremka kwa Njovu, ukifika chukua bajaj mwambie akulete kwa mama Lujina kisha panda pikipiki mpaka Kisarawe social hall ukifika kuna watu wa baiskeli, mwambie mmoja akulete hadi Uwanja wa Fakhi, ukifika angalia mbele kuna msikiti pita kichochoro, mbele utaiona shule ya msingi Ndama,shuleni utawaona watoto wakicheza, waambie wakusindikize hadi kwa akina Fatuma wa sheikh Juma, nyuma ya nyumba yao ndo kwetu Karibu Ndugu yangu......
 
Nakuja na ungo usiku huu mkuu, ahsante kwa mwaliko.

Merry Christmas to you!
 



Nisipowakuta hao watoto wanaocheza ndio imekula kwangu,Na ukizingatia natokea Tegeta hiyo nauli bora nijipikie pilau yangu nyumbani kwangu......
 
Nalog off[/QUOTE]
Hayo maelekezo ndo njia nafuu..ngoja nikaweke vibao kabisa
 
Dah aisee ata kama una moyo gani duh hiyo direction tu nimechoka ngoja nirudi lol.
 
Safari naianza leo hadi 25 dec 2014 nitakuwa nafika hapo lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…