Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,315
Mualiko wa eid!!
Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya EID nyumbani kwetu, nakutegemea kama rafiki wa karibu. Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho alafu chukua magari ya Pugu kajiungeni shuka mwisho wa gari alafu panda vigari vya kwenda kisarawe teremka kwa Njovu, ukifika chukua bajaji mwambie akulete kwa mama Lujina kisha panda pikipikib mpaka Kisarawe social hall ukifika kuna baiskeli mwambie akulete hadi uwanja wa fakhi, ukifika angalia mbele kuna msikiti pita kichochoro mbele utaiona shule ya msingi Ndama, nyuma ya shule ndio kwe2... Karibu Ndugu yangu