Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

Kazi ya YouTube ni ngumu sana, uwe na subscribers zaidi ya elfu. Uwe na viewers wa uhakika, tena sio wale wanao view na kuondoka, wanatakiwa walioangalia kideo nzima na matangazo yake full. Na iwe imeangaliwa kwa masaa si chini ya elfu 4 kwa mwaka. Na viewers wanaothaminika zaidi sana ni Marekani na ulaya ili tangazo la biashara likipita awe mteja wa karibu na bidhaa hiyo.......
 
1. Pambana katika kutengeneza quality content hata kama utateneneza video 1 kwa mwezi komaa iwe bora. Ni bora utengeneze video moja kwa mwezi ambayo ni quality kuliko kutengeneza video 30 kwa mwezi ambazo ni sub standard!

2. Pambana uwe na thumbnail na title nzuri inayovutia.

3. Hakikisha unatengeneza video zinazo vutia ma zenye retention rate kubwa (Refer point 1 hapo juu).

4. Acha kuomba watu waangalie video zako jukumu la kutafuta viewers ni la youtube na google sio lako kama ukizingatia point 1, 2 na 3 hapo juu.
Nashukuru kwa elimu. Naomba mwongozo namna ya kufungua YouTube account. Nina kitu fulani kitawavutia wengi kutazama
 
Nashukuru kwa elimu. Naomba mwongozo namna ya kufungua YouTube account. Nina kitu fulani kitawavutia wengi kutazama
Kama una gmail account you are done. Hamna kitu kigumu!

Swali unalotakiwa ujiulize, JE NI KWANINI UNAAMINI HICHO KITU KITAVUTIA WENGI?
 
I had a YouTube channel ilikuwa Inaenda fresh kabisa maana stage za awali nilishavuka ilibaki monetization tu ila mambo yakawa mengi nikaitelekeza

Ilikuwa ni mwaka 2017 kama ningeendelea hadi leo ningekua mbali
 
Ila kwa blog nje nchi za nje unaweza kutoboa in case kiingereza kikitumika?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Kweli ila si unajua bongo creativity kwenye post za kingereza na kushindana na watu wa nje kwetu wengi ni mtihani niliona video Moja YouTube ya mbongo alikuwa anaelezea miji mbali mbali ila kwa kingereza iyo video ilikuwa imetazamwa na watu 17k ila ilingiza USD 400+ iyo hakupungua DK 10 watu walioangalia USA na watu ulaya
 
Ila kwa blog nje nchi za nje unaweza kutoboa in case kiingereza kikitumika?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Yes lakini sio kiingereza tu. Kuna kitu kinaitwa SEO lazima ukijue.

Ningekua na nafasi ya kukushauri ningekwambia udeal na vyote. Youtube na blog kwa pamoja. Youtube inakua inakuletea audience wa blog.
 
Nafanyaje kuwa na akaunti ya monetized youtube.?
1. Uwe na watch hour 4000 ndani ya mwaka mmoja.

2. Uwe na atleast subscribers 1000.

3. Uwe na original content

4. Usiwe na strike yoyote hasa kwa kuiba content za wengine.
 
Back
Top Bottom