Kwa mara ya kwanza nashuhudia mpasuko CHADEMA Rombo

Ben saanane, njoo huku kuna watu wanakusemea kuwa umeonewa.Je ni ya kweli haya au ni haki yako kura 26
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.

chuki binafsi..nenda huko watakapompitisha mgombea umtakaye
 
Selasini afadhali akose, wacha irudi CCM jimbo hilo lijulikane moja, unajua kuwa Selasini ni TISS? TISS bosi wao ni serikali. Na serikali iliyopo hadi sasa ni ya CCM. Sasa unafikiri huyo ana maslahi kwa Chadema? Yupo kwa maslahi ya CCM tangu awali, poleni warombo hamkufahamu hilo. Mmemwacha bure Sa8, lakini nafikiri kuna makosa mahali fulani. Tafakari chukua hatua.
 
Ningekuwa Ben ningeachana na siasa manake mwishowe anaweza pata kiharusi. Kaanzia BAVICHA , akakatwa akajaribu tena Akakatwa na leo tena wamemkata!
huyu dogo kwa machungu tu naona anachungulia JF na kutoka, Kampeni za kupitia mitandao ni uzushi na uongo maana humu ndni Member wanaoLIKE ni zaidi ya 26 sasa yeye akajua na KURA ni hivyo hivyo
3. Matokeo ya Kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Rombo

  1. Joseph Selasini 313
  2. Masika Fratern 56
  3. Hugho Kimario 01
  4. Bernard Saanane 26
  5. Dominick Tarimo 01

Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.
Pambafu kabisa wewe Dik!!! Kwani wewe ni nani hasa ujitambe kuwa kura yako ina turufu!!!

Jinga kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
tajeni maendeleo ambayo Selasini ameleta Rombo....

Ongea kwa facts..... Maendeleo yapi Selasini ameleta Rombo? Taja hapa....

Rombo Shida ya Maji ni Kubwa

Umeme ni shida ni kufunga, Umeme wa REA tunausikia kwenya radio tu...

Sasa Selasini kafanya nini labda
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.

Ni Kweli Dik

Selasini hapati Kura kuanzia Mashati mpaka Tarakea, CCM wakisimamisha mtu mzuri anapita

CHADEMA fanyeni utafiti, acheni ubishi....

Selasini ameshawanunua watu hapo Rombo,

Selasini ameleta maendeleo gani rombo

Selasini yawezekana ni USalama wa Taifa
 
..ccm C
 
hao watu 300 waliompigia kura amewapa sh. ngapi?
 
Poleni sana najua ni pombe tu zitakuwa zinawasumbua, Ili CDM iwe imara inahitaji watu ambao ni wenye msimamo na waliotayari kushindwa na wenye kufuata utaratibu wa chama.

Ni bora kupoteza hata jimbo kama tukiwa na watu wenye akili ya pombe kama hao.
 
Mjifunze kukubali matokeo.Ushindi wa kura 300 alafu anayefuata ana 50 unaonyesha wazi kuwa hakuwa na mpinzani.
 
Rudi studio kajipange upya hamna kitu kama hicho rombo wala 30 hana mpinzani hata huyu Ben hafahamiki kabisa
Magamba mkae mkijua rombo mpinzani umeota mizizi hata cdm wakisimamisha jiwe vs gamba, jiwe litapata kura nyingi zaidi

Tusubiri oktaba 25. Mbivu na mbichi hadharani
 
Tusubir, ila gamba halitapita kingine ni kweli haufahamiki kwa raia hivyo kukatwa kwako hakuna effect kubwa, gamba pengine litapita moshi mjini kuna upinzani sana kwa cdm awamu hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom