Kwa mara ya kwanza nashuhudia mpasuko CHADEMA Rombo

Muongo mkubwa gamba wewe mimi ni mmoja wa waliompigia kura Selasini na cjapewa rushwabali nimependa utendaji wake refer serikali za mitaa.Pia hao wanaccm wanaoshangilia siwaoni su wewe upo rombo ipi?
Lindeni kura za 30 maana saa8 anaweza mfitinisha mpaka akampotea km Zitto
30 nimemuona Bungeni hapa Dodoma hoja zake zote ni za kimantiki na kiutu uzima sio km za kitoto ambazo Ben=saa8 anawaletea waRombp mara andamaneni mara Mkuu wa Wilaya afutwe kazi nk
 
Mbona Saanane mwenyewe hajalalamika.

Kwanza hakuwa hata wa pili.
Aliyekuwa wa pili karidhika.

Kushindwa pia matokeo...
 
Mbunge wa Rombo Selasini Hongera kwa kushinda kura za maoni...

Nikitofautisha utendaji wako na wabunge wengine wa CHADEMA, Rombo kumelala..... Umekoswa koswa kuangushwa..

Pengine wapinzani wako hawakujipanga ama hawaijui Rombo vizuri.

Mh. Selasini umekosa ubunifu.... Nasari amekuzidi mara mia.... hata LEMA Amekuzidi....

Rombo inadidimia..... ajiri vijana wakusaidie katika ofisi ya mbunge, wabuni mbinu mbali mbali.... Mbunge ni ubunifu..

Epuka kufanya kazi kwa upendeleo.... unapendelea kata fulani na kata nyingine umeziacha nyuma...

Hizi ni changamoto nazileta kwako,,, sikuchukii,,, napenda maendeleo ya Jimbo ...
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.

upuuzi mtupu yan ww umeona.uchaguz umekwenda vizur basi unatafuta jinsi ya kufarakanisha watu hivi nyie ndo wasemaj wa saa 8 au
kura yako wape tu magamba wenzio manake mmezoea kutuibia na kuitikia ndioooooooo, na bado mtanyooka tu
 
Watu 26 waliompa Ben Kura hawawezi kuleta mpasuko!
 
hata huyu dik anaweza kuwa ndiye Ben I doubt! atulie asitafute namna ya kuifitinisha cdm.
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.
Mbona Joseph Selasini kashinda kwa kura nyingi? Selasini anakubalika Rombo acheni ngebe. Wacha apambane na ndugu zake akina Mmanda
 
Lindeni kura za 30 maana saa8 anaweza mfitinisha mpaka akampotea km Zitto
30 nimemuona Bungeni hapa Dodoma hoja zake zote ni za kimantiki na kiutu uzima sio km za kitoto ambazo Ben=saa8 anawaletea waRombp mara andamaneni mara Mkuu wa Wilaya afutwe kazi nk

Ningekuwa Ben ningeachana na siasa manake mwishowe anaweza pata kiharusi. Kaanzia BAVICHA , akakatwa akajaribu tena Akakatwa na leo tena wamemkata!
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.

Labda familia yenu ndo imepasuka, CHAMA liko imara.
 
Rudi studio kajipange upya hamna kitu kama hicho rombo wala 30 hana mpinzani hata huyu Ben hafahamiki kabisa
Magamba mkae mkijua rombo mpinzani umeota mizizi hata cdm wakisimamisha jiwe vs gamba, jiwe litapata kura nyingi zaidi
 
Mbona Saanane mwenyewe hajalalamika.

Kwanza hakuwa hata wa pili.
Aliyekuwa wa pili karidhika.

Kushindwa pia matokeo...

Ben Saanane ni mwanachadema muamnifu kwa chama na mzoefu wa muda mrefu. Hawezi kusikiliza propaganda mnazo mjaza mtandaoni hapa.Kadhalika nae Selasini ni kiongozi mwaminifu na mwadilifu sana. Hana papara na sio kati ya waropokaji. Hupima sana maongezi yake na matendo yake yanaendana na haiba yake na hiyo imemjengea heshima kubwa. Katika ushindani wowote matokeo tarajiwa ni kushinda au kushindwa. Selasini yupo rombo kwenye jimbo lake muda wote na hiyo ni sifa iliyomwezesha kushinda washindani wake kwa mbali. Kwa sasa na baada ya matokeo hayo ni vizuri wote wakaungana na kutetea jimbo lisiangukie mikononi mwa maadui. Ben umri bado hivyo unazo nafasi nyingi ndani ya chama ukiongezea na elimu kubwa uliyo nayo.
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.

Kumbe Lowasa anafanana.na.Wanachadema
 
Ben saanane tulimshauri hiyo chadema ina wenyewe akawa mbishi ona sasa walivyo muabisha kura 26 ni aibu sana

Kwa uwezo wa Ben hata hizo 26 amepata kwa bahati mbaya.

Halali yake ni kura 1 tu, tena ya kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom