Kwa mara ya kwanza nashuhudia mpasuko CHADEMA Rombo

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.
 
kubalini mnaposhindwa hasa kama mfumo wa kupiga kura ulitumika!!

epukeni mfumo ambao ccm iliutumia kupata mgombea wake wa URAIS
 
Kama Ben Saanane ameonewa aende ACT Wazalendo apambane na Selasini tuone mshindi nani
 
Muongo mkubwa gamba wewe mimi ni mmoja wa waliompigia kura Selasini na cjapewa rushwabali nimependa utendaji wake refer serikali za mitaa.Pia hao wanaccm wanaoshangilia siwaoni su wewe upo rombo ipi?

Yupo rombo mashati kwenye ngome ya ben
 
Demokrasia ilitendeka kuna watu wanatumwa jf kuonesha Chadema inapasuka, nawashauri jifunzeni mlipokosea sio mbinu chafu za kuijengea picha mbaya Chadema mbele ya wananchi. Tambueni wananchi wameelimika sasa hawatawaliwi na akili ndogo kama hizo.
 
mwaka jana serikali za mitaa mlilia lia hapa baadae mkaja kumpsifia selasini acheni watu wa rombo wamchague wanemuhitaji awaongoze tuachane na siasa za kuchafuana hivi inatosha
 
Ben acha unafiki wako.

Hakutumia akili tu Ben kwenda kugombea jimbo ambalo lina mbunge wa CDM na kagombea. Alitakiwa atafute fresh jimbo ili ajaribu bahati yake.
Hapo naanza kuhisi harufu ya unafiki wa Ben na kukataa kukubali matokeo.
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.

Chadema Ni imara katika Jimbo la Rombo.
 
mimi nipo rombo,hakuna kitu kinaitwa mpasuko chadema,Warombo walishadelete ccm tangia enzi za serikali za mitaa
 
Kama Ben Saanane ameonewa aende ACT Wazalendo apambane na Selasini tuone mshindi nani
Hilo waz
o hata mm nalikubali
huwezi kusema CCM wanamshangilia 30 ili iweje MBINGE wao?
wacha wamalizane lkn tulimwambia Saa 8 siasa sio mchezo wa BAVICHA
sasa akakate rufaa ATASIKILIZWA
na ndipo 30 atakapopasuka
 
Mbunge anayemaliza muda wake Joseph R. Selasini wa jimbo la Rombo alishaonesha kukataliwa zamani kutokana na utendaji wake jimboni.

Jana kumefanyika kura za maoni akashinda baada ya kuwabwaga wapinzani wake Ben Saanane na Fratern Masika. Sipingi kushinda kwake ila kulikuwa na rumous nyingi za huyu bwana kutoa rushwa.

Leo bendera za CCM zimepandishwa sana mitaani kutokana na hasira za watu. Fanyieni kazi jambo hili pale walalamikaji watakapowasilisha ushahidi.

Mimi ni mwananchi wa kawaida, ila "BORA NISIPIGE KURA KULIKONI KUMPIGIA SELASINI". Chama kimepasuka Rombo, CCM wanashangilia.
Tofauti ya kura ni kubwa mno hata kuanza kulalamika...tatizo hao walifanya kampeni mitandaoni na hasa hapa JF na kuwaaminisha watu kuwa wanapendwa. Sasa wamepata haki yao wewe acha kuwachochea na kuwachonganisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom