Kwa mara ya kwanza napendwa na 'Choko'

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,235
14,203
Nikiwa narudi zangu mtaani kutokea mazoezini mishale ya saa 1 za usiku, kwa mbaali naiona gari aina ya IST (Black) ikihama njia yake na kuanza kusogea kuelekea upande wangu taratiibu. Mara ikasimama, nikiwa nakiface kioo cha mbele direct bila ya kujua mwendeshaji alikuwa na lengo gani.

Nikahisi jamaa ana mambo yake. Ule mwanga wa gari ukiwa unaendelea kugonga kwenye macho yangu ukawa unazidi kunichanganya. Ikabidi nipite pembeni ili niendelee na safari. Nikiwa nakaribia upande wa side mirror, nasikia mtu ananiongelesha

"Kaka samahani kidogo, nilikuwa namuulizia mkaka mmoja hivi anaitwa Shebe, ameniambia anakaa maeneo haya.."

Ile sauti ilivyokuwa ikitoka tu nikahisi kabisa huyu choko na lafudhi yake ni ya kizanzibar.

Ikabidi nimkatae: "Hapana, mimi siishi maeneo haya!"

Akaanza kufunguka sasa:

"Hapana buanaa, siko hapa kwa ajili ya huyo mtu. Nimekuuliza hivyo ili nipate attention yako tu.. Kusema ukweli yani, mimi tangu nipo kule na gari nilipokuona tu nikakuelewa we mkaka. Namna ulivyojazia ndo umenichanganya kabisaa!"(Huku akijichekesha)

"Sijui unatoka gym?! Anyways, naomba unipatie namba zako maana nina mazungumzo marefu na wewe"

"Hhhm!" Nikachekea kwa ndani, kisha nikamwambia:

"Haya andika.. 0712******"

Kaandika namba kisha akaipiga kuhakikisha..

Baada ya hapo tukaagana, yeye akawasha chombo akatembea. Wakati anaondoka nikawa nimezubaa kama dakika 1 hivi kutafakari ule mkasa.. Dah!! Balaa gani hili. Hapa nipo nawaza niende nae vipi huyu choko, hivi kweli mimi ni wa kwenda kwa Mpalange kweli?

Nimewaelezea wadau wangu niliowakuta maskani, wananishauri nile pesa yake kisha nitembee. Ndio wakati nafikiria nikaona niwahusishe wanangu wa Jf, huku huwa napata ushauri mzuri zaidi.

Mnanishauri vipi wadau?
 
Kwani wanawake wamekwisha?
f51b80b667ea309457dfeefd06792ec1.jpg
 
Kuna Mambo sio yakuwaza Mara 2, inabidi uyakatae hakuna haja ya kuwaza hapo, anyway yawezekana ume project mwonekana wa kigay that is why jamaa kakufuata, ungekuwa kauzu asingejaribu, ndege wafananao huruka pamoja
 
Kuna Mambo sio yakuwaza Mara 2 ,inabidi uyakayae hakuna haja ya kuwaza hapo ,anyway yawezekana ume project mwonekana wa kigay that why jamaa kakufuata,ungekuwa kauzu asingejaribu,ndege wafananao huruka pamoja
Duh! Big Wrong mkuu
 
Kemea katika jina la YESU.

Kumbe na huko wameanza kuja na mbinu hiyo? Hivi huwa wanaambiana ama? Maana nilitoka home juzi napo wakanambia kuna jamaa anajidaigi anafanya jogging asubuhi kumbe kategeshea maboy wanao fanya jogging anajidai kuwaomba wawewanakimbia wote baada ya muda linaanza kujitongozesha ili liliwe, halafu nilifanya kazi la serikalini yaani vijana tuna tabu sana sasa hivi
 
Halafu ni mwembamba kichizi, bora basi angekuwa kajaa jaa kidogo hata tako.

Si ukimwi tu hapo watu wanautafuta.
 
Back
Top Bottom