Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo
- Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami
- Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi
- Vyoo vinatoa maji 24/7
- Majengo yanaboreshwa yale yaliyochoka