Kwa mara ya kwanza, mkoa wa Mbeya unaweza kutoa mwanasiasa nguli

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Je, Mwabukusi atakubali kuwa katibu mkuu wa Sauti ya Tanganyika political party?

Kuna chama ambacho Dr. Slaa yupo nyuma yake inasemekana atakuwa mwenyekiti na katibu mkuu wake ni Wakili Mwabukusi sasa tunaiona Mbeya inaenda Kwa mara ya Kwanza kutoa kiongozi Makini na komandoo.

Karibu Tanganyika political party.
 
Je Mwambukusi atakubali kuwa katibu mkuu wa Sauti ya Tanganyika political party?

Kuna chama ambacho Dr slaa yupo nyuma yake inasemekana atakuwa mwenyekiti na katibu mkuu wake ni MH Wakili Mwambukusi sasa tunaiona mbeya inaenda Kwa mara ya Kwanza kutoa kiongozi Makini na komandoo!
Karbu Tanganyika political party.
Uzushi
 
BORA USIFE LEO ILI UONE MWISHO WA UONGO WAKO HUU.
 
Miaka hii kijana unaleta habari za vyama vinavyoanzishwa na wazee walioko 70+?!
 
Hivi hii nchi Kila likitokea varangati linalohusisha siasa za nchi hii ni lazima kuanzisha chama??? Ntatoa mifano zitto na kina mkumbo walivyoanza usaliti wao kiasi Cha kutingisha medani za kisiasa za nchi hii ilianzishwa act, aliekuwa KUB rashidi hamadi alivyoparangana na kina maalimu seif na lipumba and kaanzishwa ADC, haya akafa ngosha wa chato ikataka kuanzishwa umoja party na sasa sakata la bandari nalo Kuna chama kinaundwa!! Sasa na sisi wanayanga tunaunda chama Cha siasa Kwa sababu Rais kahutubia Taifa kwenye platform ya Simba
 
Je, Mwabukusi atakubali kuwa katibu mkuu wa Sauti ya Tanganyika political party?

Kuna chama ambacho Dr. Slaa yupo nyuma yake inasemekana atakuwa mwenyekiti na katibu mkuu wake ni Wakili Mwabukusi sasa tunaiona Mbeya inaenda Kwa mara ya Kwanza kutoa kiongozi Makini na komandoo.

Karibu Tanganyika political party.
 
Je, Mwabukusi atakubali kuwa katibu mkuu wa Sauti ya Tanganyika political party?

Kuna chama ambacho Dr. Slaa yupo nyuma yake inasemekana atakuwa mwenyekiti na katibu mkuu wake ni Wakili Mwabukusi sasa tunaiona Mbeya inaenda Kwa mara ya Kwanza kutoa kiongozi Makini na komandoo.

Karibu Tanganyika political party.
Bahati mbaya hawezi kuungwa mkono kutokana na tatizo kubwa la ukabila na kujivuna la Wanyakyusa,Mimi ni mzaliwa wa Mbeya ila Wanyakyusa big No.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom