cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
... dhailand ....
emaaa.....
thailand,au wee hukoseagi bishosti
Ugali wa mtama na mboga ya mlenda unaweza kupika???
hongera nitakuja unifundishe mwaya
babukijana mi mkali pia,kwa hii misosi kuvimbiwa si ajabu lolkwamisosi we kweli mkali,
na hapo kwenye avatar yako naona ushavimbiwa tayarioa
hongera nitakuja unifundishe mwaya
Afadhali uende ukapate kaufundi ka jikoni kwani mwanamke sio mbunye tu na mwiko pia!!
Mbona dagaa sizioni kwenye hiyo menu uliyotuonesha?
karibu,naamin hata mie nitajifunza kitu toka kwako.
We mtoto usijeacha nikazamia meli ya Mgiriki nije huko uliko!...Saa mbaya hizi bana, kuweka menyu za mvuto namna hii utaacha nalowanisha madaftari ya mkoloni!
By Ze Way, hiyo avetari yako ndo tayari ushabarikiwa nini?...nauliza ili tuanzishe mchakato huku!
asante nitakufundisha kupika ndizi mzuzu na samaki