Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 475
Wadau kwa mawaziri wa awamu ya tano mie kwa maoni yangu profesa Makame Mbarawa ndie waziri bora kwa utendaji kwani amefanya kazi kwa weledi mfano kufuatilia kwa kina utendaji wa makandarasi nchini kwenye ujenzi wa bara bara, kusimamia kwa kina ujenzi wa bara bara kwa kiwango cha rami mfano bara bara ya Arusha mpaka Musoma pia kwa kushirikiana na rais wetu John Magufuli wamelifufua shirika letu la ndege la ATCL kwa kuleta ndege mpya.