Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Nakubali mkuu,history will judge him...Lakini haina maana kuwa hatuna macho ya kuona na akili ya kufikiri.

ok tuna macho na akili ya kufikiri,so what next to do regard this issue.
 
wakati wa uchaguzi tulitumiwa mesage tumchague mkatoliki mchungaji,lakini wakasahau kuwa takwimu zao za uwingi haziko sahihi! wakajifariji kwa hilo,matokeo ya uchaguzi yakawaumbua na udini wao wa kuhubiriana madhabahuni mpaka kwenye mesage za simu.JK ni rais pekee aliyejasiri kukubali kuunda katiba mpya.
 
Kwani hii ripoti imetengenezwa na RC au ni kutoka sources mbali mbali? Mi naona ni nukuu toka US State Department, International Religious Freedom Report 2009 na US Bureau of Democracy, human rights and labor. Hizo ni takwimu za kijasusi (Intelligent Statistics) wenzetu wanazozikusanya kwa matumizi yao ya baadae na walioandika wikipedia wanukuu takwimu hizo bila ya kulihusisha kanisa wala serikali. Kusema kwamba takwimu hizo zilipikwa na Maaskofu Katoliki ni chuki tu isiyo na maana yoyote.
 

Alisoma shule ya Kanisa pale Lugoba.
 
namshukuru mungu kwa maamuzi yake ya kiupendeleo kwangu kwa kunileta duniani hapa nikiwa sio mkristo.namuomba aniwezeshe kuuchukia ukristo zaidi na zaidi kwani ukiwa mkristo unakua huna akili(ingawa huokoti makopo wala huvui nguo hadharani) bora ya chizi,mwehu anaetembea uchi na kubeba makopo...
Kikwete unaemwita mdini ndio rais alochagua baraza la mawaziri,Hebu nambie idadi ya mawaziri, waislamu na wakristo wengi wepi?Ma naibu waziri waislamu na wakristo wengi wepi? wakuu wa wilaya na mikoa waislamu na wakristo wengi wepi?IKIWA RAIS KIKWETE AMEWACHAGUA WAKRISTO WENGI ZAIDI YA WAISLAMU KWA NAFASI NYETI KAMA HIZO,UDINI UNAOMPA KIKWETE NI KUPENDA UKRISTO AU UISLAMU?
MIND YOU ALL KAFFIRS,Nyerere amewalewesha madaraka,mnamsifu kila siku,amedumaza maendeleo ya taifa hili kwa kueneza ukristo,,....mnajipa mamlaka na haki zote,mnajipa mamlaka ya kukataa hoja za msingi za waislamu,,,ipo siku mtazikubali..Eleweni kwamba Muislamu ameahidiwa PEPO akifa vitani kutetea haki yake na dini yake,MUISLAMU HAHITAJI B52 Kwenda vitani...Alshabaab,Taleban,alqaeda hizbullah etc vimeanza baada ya waislamu kuona wanadharauliwa na kushindwa kuvumilia dhulma wanazotendewa...moto mnaouchochea hamtoweza kuuzima,anaebisha aombe umri mrefu atajionea mwenyewe kwani dalili zote zishajitokeza kilichobaki ni starting point...mpe haki yake muislamu usalimike,usimdhulumu kwani yeye hakudhulumu...
 
Kama mawazo haya yanauwakilisha uislam wa watanzania,basi Tanzania tumekwisha.That's all I can say!
 
Kama mawazo haya yanauwakilisha uislam wa watanzania,basi Tanzania tumekwisha.That's all I can say!

Kama wakristo wa Tanzania nao hawayaoni matatizo yaliyoelezwa kwenye post hiyo kama wewe, basi Tanzania tumekwisha. That's all I can also say.
 

kwaio nyie mnapambana na dhulma inayofanywa na nani??
 
Kama wakristo wa Tanzania nao hawayaoni matatizo yaliyoelezwa kwenye post hiyo kama wewe, basi Tanzania tumekwisha. That's all I can also say.
Yani Nyerere amedumaza maendeleo ya nchi hii kwa kueneza ukristo?na kwamba hamuhitaji b52 bombers na mifano ya Talibana na Alkaeda ndo kitu cha mtanzania kukizungumzia na kieleweke?tafadhali mkuu,hajaelezea matatizo yoyote.
 

post 600 na ushehe hii ndo nimeona kilazaful pøst. Yaani amereverse ccm ilichokifanya wao ndo walianda sms za kumchafua Dr. Slaa na wakawa tumia hawa jamaa hakawa wanahamasishana misikitini kumchagua mwislam wao. Leo huyu amesahau anaanzia mbele anakuja nyuma shame on u na ccm itaendelea kuwatumia mpaka basi.
 

Shule ni kitu cha muhimu sana, huyu jamaa anavyo andika tu inaonyesha amesoma madrasa tu.
HIVI NI MUNGU GANI ANAYEWAFUNDISHA KUCHUKIA WAKRISTO, MUNGA GANI AMEWAMBIA UKIUA MKRISTU UNAENDA PEPONI. Nijuavyo shetani ndo anahimiza ubaya kwa ubaya na mauaji. Hakuna Mungu anayewarusu kuua mwende peponi labda huyo ni Mungu wenu tu. SUALA LA MAWAZIRI JK NI MWISLAM MWENZENU AMECHAGUA WAKRISTU WENGI KWENYE BARAZA SABABU WANASIFA. Sasa nyie badala muhimize vijana wenu wasome mnawachochea kuuchukia ukristo na kuwapeleka Madrasa, hapa mnategemea kupata watalam wa kulitumikia taifa.
Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanawa didimiza.
1. Wakristu tunafundishwa kuheshimu dini za wenzetu, nyie mnafundishwa kuchukia ukristu.
2. Wakristu mtu akikosea tuna msamehe nyie mna msomea albari au kuua.
3. Wakristu wanajitahidi kujenga vitenga uchumi na vituo vya huduma za jamii nyie mnataka serikali iwafanyie.
4. Mnachoma makanisa wakristu hawachomi miskiti na wala hawarevenge.
To mention a few. Kwa haya na mengine kibao nyie mnategemea mkijua idadi yenu ndo mtaendelea haya subilini.
 
Ni mdini hata kama mtajiapiza kwa kujikata vidole. shabikieni ambao mnajifanya hamnazo kwa sababu mnazojua wenyewe. Lakini ipo siku mtarudia kuisoma hoja hii wakati mmoja huko tuendako kama tutaruhusu iendelee. Tukatae kwa hoja, sauti ya wengi, sauti ya Mungu haijalishi anayelalamikiwa ananguvu gani za kibinadamu, hawezi kushinda nguvu za Mungu. Udini umeangamiza watu wengi katika mataifa mengi duniani. Si jambo la kubeza hata kidogo. Someni alama za nyakati, kisha tumlilie Mungu huku tukionyesha kuwa hatutaki kupelekwa wanakotaka wao ambao ni wachache, kuliko ambako tunataka sisi ambao ni wengi. (Naamini wanaotaka amani ni wengi zaidi ya wanaopalilia mbegu za udini).
 
Wewe kifutwe huna hoja. Ni upungufu wa elimu unaokusumbua. Kuua wakristo unaenda peponi? Quran gani unayosoma wewe? Unajua maana ya Kaffir au unaropoka kwa kukariri kitu usichokijua. Hata hiyo elimu ya dini huna. Umejaa tunguri kichwani
 

Udini ulianzishwa na wazungu kupitia Mission zao. Mwalimu wetu msifika akauenzi kwa kupitia kanisa lake na mawakala wake ndani ya serikali - Rejea kitabu kanisa katoliki na siasa za Tanzia Bara 1953-1985. Kiukweli kanisa la Mwalimu msifika kupitia mawakala wake walioko serikalini halikupenda na halipendi kabisa waisalamu wawe na sauti au wasikike kwenye nchi hii. Kwa hiyo wafuasi wa udini wakisikia waslamu wanaongea na hawawekwi (rumande)/wala hawapigwi mabomu hukasirika na kutoa maneno yasiyofaa kama wewe unavyofanya. Upende usipende JK ndiye Rais Bora kwa sasa TZ na kafanya mengi ambayo kanisa lako na wewe mukipenda kuyaona sawa musipopenda sawa.
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…