Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Mimi Bado ninaamini kuna watu tena wakubwa serikalini wapo nyuma ya hili pazia la udini..kuna uwongo mwingi sana unaenezwa kujenga chuki dhidi ya Watanzania.. e.g MOU sijui ni wapi watu waliona hiki kitu na kama JK analijua awaambie watu ukweli kuliko kuacha propoganda hizi zinazochochea chuki kwa wanajamii yetu.
Wanasiasa wasifikiri huu ni mtaji wa kisiasa kwao maana kama hawataangalia hili madhara yake ni makubwa sana na hayataishia kwa CUF na CDM pake yake..
 
Utambuzi kwa dini unatumika wapi? Ukienda mitaaani ukauliza Ndugu Au Rafiki yako watakuuliza jina lake Kama wakishindwa kumfahamu watakuuliza Kabila lake Au wasifu wake kwa jinsi Mwenyezi Mungu alivyomuumba lakini hawaulizi dini gani. Sasa kipengele cha dini cha nini. Nilikwenda usukumani nikakuta mashindano ya ngoma ambayo mshindi Ni Yule ambaye ngoma Yake itakuwa imezungukwa na kuangaliwa na watazamani wengi kuliko mshindani wake. Sasa idadi ya watz kwa dini inatusaidia nini? Tunashindana ngoma?
 
Kwahyo wewe unaona nyumba inaungua afu wasambaza taarifa kwa watu jinsi nyumba inavyoungua..baada ya kutoa soulution jinsi ya kuuzima na umshauri mwenye nyumba nin cha kufaya...

ACHA UCHOCHEZI..
 

Nyie wala hamna lolote manake kwanza hamjielewi.....sasa mbona kipengele hakijawekwa na mumehesabiwa?......yale mapovu yenu mlokuwa mnayatoa kama mmenyweshwa sabuni ya OMO yameishia wapi?
 
Nina uhakika JK alimmissread mwalimu aliposema kuwa hafai ama hajakomaa,nadhani yeye aliona udini maana wafuasi wake ndo wenye kuueneza na kumponda mwalimu kujaribu kumchafua kabisa na kuwmondoa kwenye historia ya watanzania kwa yale mema aliyoyafanya.

Ama pengime mwalimu alijua kuwa huyu jamaa ni mdini?

Ccm wana utaratibu wa kusimamisha mkristo then muislam,hiyo ni agenda yao ambayo ni unofficial.Lakini bado tu kuna wana ccm wa ccm ya mwalimu kumbe walikuwa wanamsapoti kiunafiki tu.Hao ndo kina JK,mwalimu kafariki, sasa wanataka kumalizia kazi yao ya kulimaliza hili taifa moja kwa moja.

Mwalimu kumbe alifanya kazi kubwa kui preserve amani.Mana mwendawazimu akichukua nchi,ni balaa!

JK you will pay for this,na kwataarifa yako,anza kwa kukemea hata kama ni kwa unafiki wako,kwasababu taifal hili si la waislam peke yao wala wakristo peke yao,taifa hili ni la watanzania,na tunataka uikabidhi Tanzania kwa watanzania utakapoondoka madarakani,kinyume chake ni bora uandae alshabab kwa ulinzi wako mkuu!
 
Watanzania msibishe element Zote za udini zimeanza kuchomoza katika taifa letu, JK hakwepi lawama za jambo hili ni lazima tusipotoshwe na magazeti uchwara Kama Sauti huru ambayo yanataka kutumia dini kuwaweka madarakani mabwana zao, wengi wetu wakrsto na waislam tumekaa pamoja siku zote bila tatizo Hawa wachache wanaotaka kutuvuruga tuwakatae hima.
 
Nani alikwambia jk huwa ana shaurika? Jaribu kufuatilia hotuba zake ndio utajua kiburi alicho nacho!

Kwahyo wewe unaona nyumba inaungua afu wasambaza taarifa kwa watu jinsi nyumba inavyoungua..baada ya kutoa soulution jinsi ya kuuzima na umshauri mwenye nyumba nin cha kufaya...

ACHA UCHOCHEZI..
 
Yani huyu jamaa sijui inalipeleka hili taifa wapi?
Yan hii laana hawezi kuikwepa!

 
Kweli mwalimu alijua kabisa!
Huyu jamaa hakufaa kuwa rais hata chembe! Leo hii watu wanatupa madodoso kwa sababu ya hisia alizo wapandikiza.

 

Wewe ndio mdini namba 1 utakuwa kwa sababu thread yako iko sehem 1 tu inaonyesha jinsi gani wewe ulivyo mdini
 
Unaweza ukawalaumu waislam lakini chanzo cha haya yote ni jk na propaganda zake!
Leo hii anajidai kuwashangaa!

 
Tulishasema toka mwanzo haya mambo jk akaendeleza kwa kuona ni mtaji!
 
Nawashauri waislam ambao wamekerwa na takwimu hizo za mitandaoni wachague ijumaa moja na kufanya sensa yao misikitini na kwenye taasisi zote za kiislam kujua idadi yao kisha watapata idadi ya watu wa dini zingine kwa kutoa idadi yao kutoka kwenye idadi ile itakayotolewa na serikali kwa mujibu wa sensa ya sasa.

Kwangu haijalishi wailam au watu wa dini zingine ni wangapi bali cha muhimu ni kuzingatia haki ya kila mtu binafsi kuishi atakavyo,kwa mujibu wa sheria za nchi.Vita ikianza , ya kidini au ya kisiasa, wote ni waathilika huku wakubwa wakijificha ili wafe mwishoni, ikibidi.Nina ushahidi kwa hayo.
 

Utafiti unaonesha kuwa wasaidizi wake wakuu wote ni wa dini yake na hata jeshini ni hivyo hivyo ;kitengo husika kinaongozwa na chief of Staff Shimbo[ mwenye matrilloni ya mapesa huko nje ya nchi; zilizokuwa S.Afrika pengine sasa zimehamishiwa Switzeland !!!]
 



Hhahahahaaaa! Mbavu zangu!!
Kwa hiyo Wikipedia ni RC?!! hahahahaaaa!!
Halafu hiyo link ya pili ni kiboko kweli, naona Processor tu hapo, nothing to do with any demography!! Hahahhahahaaaaaa! Naona umejikomboa kutoka ujingani...hahahahaha!
 
JK ni mdini,na asipokemea huu udini anaoueneza,tutampa muda!maybe siku 7?

Anyways,JK tutakupa huo muda ukemee huu udini hata kwa unafiki kwasababu tumejuwa unawatuma,basi waambie wasitishe huu udini!na usipofanya hivyo,tutawauliza wanaokulinda kama wanamlinda mtanzania na si mtu wa dini flani!kama ni raisi wa Tanzania analindwa,basi jeshi hilo,usalama huo wa Taifa na Polisi hao wawe wa Tanzania.
 
Hatuwalipi jeshi,usalama na polisi kumlinda rais wa dini moja.Kodi za watanzania zitaenda kumlinda rais wa watanzania na si vinginevyo!
 
jmushi1, kwanza inabidi tukubali kwamba tatizo lipo na kuweza kuliongelea hadharani.

Lakini ili kuweza kuliongelea lazima kuwe na vigezo au dalili za wazi kabisa za kuweza kuwa mfano ili watu waweze elewa. Tathmini ya waliogoma kuhesabiwa sensa na athari kwa zoezi zima inaweza kuwa mfano mzuri.

Lakini, nani aanze kumfunga paka kengele?? Sina uhakika kama kuna chombo cha habari kilichotayari kupoteza maslah yake kirahisi kwa ajili ya kuongelea hili.

Lakini, katika aina hii ya kampeni, si muafaka ikibebwa na chama cha kisiasa, hasa ambacho kimeshapewa nembo ya udini, itakuwa ngumu kukubalika.

Je, kama wananchi, ambao tuna dini zetu, kuna haja ya sisi kwa sisi kuandaa aina hii ya majadiliano na kuweka wazi nini vipaumbele vyetu kwa sasa??

Tukishirikiana dini zote, kumuumbua mchawi wetu tunaweza kupata pa kuanzia.

Tukisema tusubiri serikali ianze harakati kama hizi tutasubiri sana, maana yenyewe inafaidika kwa aina hii ya mgawanyiko (kupoteza lengo)

sasa, tuko tayari kuanza harakati?? Na nani mtu sahihi wa kuanza kuongelea?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…