THE BEST PRESIDENT AMBAE HAJAWAHI TOKEA TANZANIA.Ukweli ndo huo.
mjadala hapa ni udini wa JK,miye sina shida na ndugu zangu waislam.Sasa hii ni double standard kuwahusisha wasiokuwa serikali ama vyama vya upinzani kuhusiana na kauli ya JK kuwa nyie waislam wenzake muhesabiwe.Lakini tunaoufahamu unafiki wa JK,yeye ndo kawatuma kina Ponda waeneze udini.Ni mnafiki sijapata kuona.umeyaona ya shekh PONDA tu!!ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1)www.wikipedia.com/tanzania
2)www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
hakuna hasara kwa taifa kama kuwa na kiongozi wa juu asiye na msimamo wala hajui kwa nini yupo pale.
Wakati anajipanga kuingia madarakani alitumia sana mbinu ya udini, pamoja na nyingine na kufanikiwa kuingia.
Kama kawaida yake hakujua kama itafikia hapa, na hakuwa na njia mbadala ya kunusuru hali pindi mambo yataharibika.
Jukumu au wa kulaumiwa ni sisis watanzania tuliokubali kuingozwa na mtu asiye na uelewa na sisi kukubali kumpa nafasi ya kutugawa.
Mjinga akiwachonganisha werevu wawili, wa kulaumiwa si mjinga, bali ni wale werevu walioshindwa kujua lililo bora kwao.
Badala ya kutumia 'platform' kama hii kunyoosheana vidole, ingekuwa jambo la maana kama tukakubali tofauti zetu na kutafuta 'common ground' ambapo tunaweza kusonga mbele kama taifa moja lililowahi kuwa na wananchi wasiotambuana kwa dini kwa majina yao au kwa uwezo wao katika uongozi.
THE BEST PRESIDENT AMBAE HAJAWAHI TOKEA TANZANIA.Ukweli ndo huo.
THE BEST PRESIDENT AMBAE HAJAWAHI TOKEA TANZANIA.Ukweli ndo huo.
Familia yetu ni ya wakristo na waislamu na tupo imara pamoja kama zamani. Kijiji chetu kina waumini wa dini zote mbili na bado tunazikana kama zamani. Sijui umeandika haya baada ya kufanya utafiti wa kiasi gani?
Mkuu tutajie hilo gazeti lenye kusambaza sumu hizo.