Kwa mambo haya, acha niipende Kenya japo mtanzania

We mbona mambo madogo sana haya!! Unatutia aibu kutothamini nchi yako kwa vidaraja hivyo. Subiri tazara na salenda na ubungo pakamilike. Kigamboni umefika?
Unatema bigG kwa karanga za kuonjeshwa !!!
 
Au ni kwa sababu waTZ hatuhangaiki na picha kwenye media kuonyesha kama tunaendelea...
 
Mimi pia ni mtz lakini tangu mwezi huu wa 7 uanze nimehamia kenya mazima.

Kenya ni nchi inayoendelea kwa kasi ya ajabu... Sio Tanzania nasikia magufuli anagawa vyeo kichama. Mtu anapewa kazi ambayo hana elimu nayo kisa tu ni mwana ccm
 
'Bado teuzi za watendaji kata ndipo kazi rasmi zianze.Lazima makada wote wapate kazi pia ndio itakua rahisi uchaguzi 2020 maana kasi ya kukichukia chama chetu kitukufu inazidi kuongezeka.,
 
Mkuu mpaka saa hizi bado tu Wenye kujifanya wao ni WAZAWA wa Kitanzania HAWAJAKUTISHA na kukuita MKIMBIZI au MNAFIKI? Mwenzako nimeshakomaa kwa LAWAMA bila shaka nawe UTAKOMAA pia. Kila la kheri!
Unaumwa wewe!. Huna uzalendo pamoja na huyo mwenzako kama vipi hamieni huko kenya!
 
we utakuwaa ni raia wa kigeni huna utz wowote sema ulitaka kutuonesha tu hivyo vidadaraja twi twi
 
Mimi pia ni mtz lakini tangu mwezi huu wa 7 uanze nimehamia kenya mazima.

Kenya ni nchi inayoendelea kwa kasi ya ajabu... Sio Tanzania nasikia magufuli anagawa vyeo kichama. Mtu anapewa kazi ambayo hana elimu nayo kisa tu ni mwana ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…