Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,121
- 49,495
Unajua mwanzoni nilijua labda atabadilika lakini nikagundua ni mtu asiyekerwa na kuona vyombo vichafu! Nilipomuelekeza ndio amekacha hata kuja kwangu! Kumbe ni mmoja wa masistaduu ambao wanaonekana safi kwa nje tu!
aisee hili jambo la usistaduu kwa nje nimeliona sana,kuna mdada alinikaribisha kwake nilistaajabu!vyombo vichafu vimesambaa kila mahali,nguo chafu safi zipo kwenye makochi kukaa mpaka usogeze,maganda na uchafu mwingine vyote vinazagaa..ikabidi niulize kulikoni..akasema aahh mi huwa narudi nmechoka halafu wamama wa usafi sijawaona wakipita...ila ukikutana nae ni msafi ajabu..
Hii sio tabia nzuri kwa mtoto wa kike usafi wa nje hautoshi jamani!!