Kwa malezi haya, ndoa nyingi zitaendelea kuvunjika!

Unajua mwanzoni nilijua labda atabadilika lakini nikagundua ni mtu asiyekerwa na kuona vyombo vichafu! Nilipomuelekeza ndio amekacha hata kuja kwangu! Kumbe ni mmoja wa masistaduu ambao wanaonekana safi kwa nje tu!

aisee hili jambo la usistaduu kwa nje nimeliona sana,kuna mdada alinikaribisha kwake nilistaajabu!vyombo vichafu vimesambaa kila mahali,nguo chafu safi zipo kwenye makochi kukaa mpaka usogeze,maganda na uchafu mwingine vyote vinazagaa..ikabidi niulize kulikoni..akasema aahh mi huwa narudi nmechoka halafu wamama wa usafi sijawaona wakipita...ila ukikutana nae ni msafi ajabu..

Hii sio tabia nzuri kwa mtoto wa kike usafi wa nje hautoshi jamani!!
 
Wazazi wengi wamekuwa wakiwaachia watoto wao hata kujifunza mambo ya muhimu. Wanawafanyia kitchen part ya kimbea, sendoff na baada ya mwezi mmoja binti anarudi nyumbani kisa mume anataka apike, hawezi kutandika kitanda, etc. Anachojua yeye ni kujipamba tu kutwa nzima.

na pengine ya kitandani hayajui....
 
Kama wanawake wa Tabora,et ukipanga ktk mji wao kama ww ni mwanaume basi wanakupanga zamu ya kusafisha choo na uwanja.Na wakati huo wanajua shughuli nzito unazofanya na haupatikani home duda mwingi,wao ni kuoga,kula,kusikiliza taarabu na kugawa dudu usiku.Ths time nimewagomea kamgomo baridi.
 
^^
The secretary asilimia kubwa ya wasichana wa aina hii wanageuzwa sex toys na mashorobaro wao! Niliwahi kuleta mada humu MMU inayosema 'Unavuta watu wa aina yako'
Binti wa aina hiyo ni mzigo wa baba yake na aibu ya mama yake
^^

na kweli hapo lazima awe sex toy sababu hana jipya hata hao masharobaro ni wale wanaovaa suruali sampuli ya diamond.
 
Last edited by a moderator:
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.

Wewe ulimuendekeza huyo
ulipaswa kumpa sheria zako siku ya kwanza kabisa
yaani yeye achfue vyombo,wewe usafishe?
ulimdekeza
 
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.

mlaumu mama yake na umweleze
 
huyo ni janga kama ambavyo maduu wengine walivyo majanga chukua funguo zako haraka anakujazia mende na panya ndani huyo
 
Kusoma kusifanya watoto wakashindwa hata kufua nguo za. Kipindi nasoma advance kuna jamaa alikuwa anavaa nguo zikichafuka anakusanya zote kwenye begi na kwenda kuagiza hood ili zikafuliwe aafu anarudi na begi jingine lenye nguo safi. Chuoni ndio nikakutana na wadada wanaowapa wale wafanya usafi mpaka chup.i wawafulie.! Nikawa najiuliza ikilowekwa na kutolewa si wanavaa uchafu hawa? Na familia zao zitakuja kuwaje? Je, kupika ataweza huyu?
Hiyo tabia ya wadada chuo kuwapa nguo watu wa usafi wafue kwakwel ilikua inanikwaza sana yan nlikua had najickia vbaya,n uvivu gan huo kufuliwa kila ktu na mtu uko mzma wa afya wala hata hauumw na ukiumwa hauna friends?Af masa nyng watu wavivu ni wachafu!
 
kuna dada mmoja mabibo hostel tulikaa naye room moja sikuwahi kumwona akifua nguo zake hata siku moja wala hata kusema afanye usafi wa room hakuna kazi yake kupita na ndala zake za bafuni,nguo za ndani sasa zimekuwa rangi ya kahawia ifike weekend ukienda home ukirudi utatamani ukimbie chumba vyombo alivyolia vinatoa uvundo wa tangu ijumaa hadi jumatatu, hapo ndio nilipoona wanaume wanakazi katika kusaka wake.
 
yaweza kuwa tunamlaumu lakini watoto wakike wengi hawajui kazi za nyumbani, kuanzia kupika, kuosha vyombo, usafi wa nyumba na hata wao wenyewe pia....

Yaani kama mtoto wa kike hujui hizi kazi ndogondogo za nyumbani ni majangaa. Hivi unategemea kuwa mwanamke au mama wa ana gani? Inasikitisha sana asiyefunzwa na mamaye.....
 
Kuna wife wa mshikaji alikuja msaidia wafe wangu kazi siku wangu alipokuwa anaumwa. Alifanya kazi zote akapika mboga fresh kabisa. Ilipofika ngwe ya kupika ugali akasema yeye hajui kupika ugali!!!! Ikabidi wife amwombe jirani mwingine aje kutupikia ugali. Nilishangaa sana!!!
 
Wapo wengi mkuu! Kuna ndugu yangu yeye akienda nyumbani na rafiki zake akakuta chakula labda asichokipenda anaenda kununua chips zake na soda yake huku rafiki zake wakila hicho chakula cha hom!
Kuna viazi, mafuta, mayai na kila kitu kinachoweza kupika chips hizo pale hom ila ndio anaenda kununua nje!

Akienda likizo hom, siku nzima huwa anajifungia kutazama movies zake wakati mabinti waliopo hom wenzie wanafanya kazi tofaut tofaut za nyumbani pale!

Kila siku huwa najiuliza atakayemuoa huyu sijui ataweza kuvumilia ujing.a huu?!
Maana huwa akiambiwa kitu anazira kukanyaga pale home!

Kweli akinamama leeni watoto wenu, sio kwa ajili ya kuolewa ila kwa ajili ya maisha yao tu wakianza kujitegemea! Maana hivi visichana vya chuo tuvione tu vimependeza, vingi ni vijinga from within out!
 
Kuna wife wa mshikaji alikuja msaidia wafe wangu kazi siku wangu alipokuwa anaumwa. Alifanya kazi zote akapika mboga fresh kabisa. Ilipofika ngwe ya kupika ugali akasema yeye hajui kupika ugali!!!! Ikabidi wife amwombe jirani mwingine aje kutupikia ugali. Nilishangaa sana!!!

Samahani kaka yaani na wewe una shida sana, kupika kumekushinda mpaka mnaazima majirani wawasaidie? Ugonjwa huu wa kutokujua kazi za nyumbani kwa jinsia zote ni majanga!
Maisha yako ya ubachela ulikuwa unakula magengeni?
Kabla hujamshangaa huyo jishangae na wewe!
 
Unajua mwanzoni nilijua labda atabadilika lakini nikagundua ni mtu asiyekerwa na kuona vyombo vichafu! Nilipomuelekeza ndio amekacha hata kuja kwangu! Kumbe ni mmoja wa masistaduu ambao wanaonekana safi kwa nje tu!
shukuru mungu kakupunguzia mzigo...njaa zake mwenyewe,kula ale yeye,vyombo tuoshe siye,...mbona majangaaaaaa..
 
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.
Umenena kweli tupu ndugu yangu. Kuna wazazi wanalea watoto wao kama mayai.Mtoto akitaka kuosha vyombo au kufua anaambiwa acha, msichana wa kazi ataosha vyombo na kufua! Eti anaonesha upendo kwa watoto wake!
 
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.

Mimi naona hawa watoto wa dotcom tu..enzi zetu tulikuwa atufanyi hivi kabisa,na nimeona wazazi zamani walikuwa wakali sana.sasa hivi haohao wazazi ndio wanaharibu hawa watoto kwa asilimia 100.awaambiwi fanya kazi,kipi kizuri au kibaya..ndio maana ukimgombeza unaonekana we mnoko maana wazazi wananyamaza we ndio unajifanya unajua.matokeo yake inakuwa ngumu kuishi na watu..na kazi awajui
 
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama za kununua chakula na ufunguo nikampatia. Chakula chote nanua naweka ndani ikijumuishwa na mboga huwa naipika na kuhifadhi kwenye kafriji kangu. Tatizo sasa, atakuja atapika na kula na vyombo anaviacha vichafu. Nikirudi kutoka kazini naviosha. Kuna siku nilisafiri na niliporudi nikaona vyombo vyote vichafu na nikaviosha. Siku moja nikamueleza kistaarabu awe anaosha vyombo anavyovitumia. Kuanzia siku hiyo hajakanyaga tena kwangu. Ninajiuliza, kumsisitiza usafi ni kosa? Hili mara nyingi linajitokeza hata kwenye ndoa kutokana na watu kushindwa kufanya vitu vidogo kama kuosha vyombo, kupika, kutandika kitanda, kupiga deki nk na kupelekea ndoa kuwa na migogoro. Wito wangu kwenu wazazi: wafundisheni watoto wenu wazijue kazi ndogo ndogo hata kama wanasoma boarding! Wakirudi likizo wajifunze hata kuosha vyombo na kufua.

Kizazi kilichopotoka.
Niliwahi kumshuhudia dada mmoja, yeye alikuwa mzazi pia alikuwa na house girl. Kwa mtazamo wa nje ni mstaarabu mno, mrembo na mvuto na haiba. siri ya uchafu wake iligundulika pale house girl alipoomba likizo ya siku moja, akasalimie. Bahati mbaya likaa siku tatu kwao.

Amini usiamini, alikuta nepi zoote zilizotumiwa na mtoto zikiwa katika beseni kubwa zinamsubiri. Kilichofuata ni kwamba yule house girl alipaki vitu vyake akasepa!

Ushauri: Ni vyema kumwalika demu geto, umweeke mitego ikiwa ni pamoja na siku hiyo uache geto bila kudeki, vyombo, usitandike kitanda nk. Kama ni msafi na mstaarabu, basi atajituma kuweka mambo sawa!
 
kweli ww una upendo
ningeshamtimua kitambo
ujinga gan huo
ndo wamama wa mjoni hao
watt wanalelewa km mayai halafu ndoa wataziweza?
 
Upo sawa!
Mitoto inalelewa kama uyoga na hata wakiolewa wanakuwa wavivu hivyo hivyo kitu ambacho waume wengi hawafurahiii mwisho wa siku anamtafutia Deputy bibie anaishia kutoa macho kama paka la muhimbili.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom