Alex Mbwilo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 351
- 290
Unaongopa Cathoric na wenyewe wanachangisha kama hao wengine wanatofautiana namna tu, labda kama unasema zamani.Hatari sana..
Sie kwetu CATHORIC hatuna mambo hayo kabisa..
Huo ni wizi pigeni mawe huyo
hahaaa..tunasamehe tu mkuu.Hatari sana..
Sie kwetu CATHORIC hatuna mambo hayo kabisa..
Huo ni wizi pigeni mawe huyo
amen.mkuuSalute, Comrade.
Historia inaonyesha kuwa "Primitive thinking ndiyo source ya uwepo wa vitu pasina kuhoji, kusaili, kudodosa na kadhalika", They just need command from the above. No reasoning, No truth. Nje ya hapo utakuwa huna tofauti na Dubu wa kwenye maonesho kule Ulaya.
Biblia inasema ....bisheni nayi mtafunguliwa. Ni kweli tu wabishi wa kuongozwa katika Roho na kweli?. If not why?.
Tusiwe Primitive thinkers waso hoji lolote hata kama halina mantiki. Tuhoji kila kitu kwa hekima na busara. Kuendeshwa kwa Ibada katika muktadha huo si sahihi kabisa na hata Biblia Takatifu haikuagiza hivyo.
Yakobo 1;27- Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu.
Nb: Your Ignorance is their Power. Hoji hadi kanisani na atakayekutishia kuwa UTACHOMWA MOTO mwambie kuwa "Wewe ndiyo kwanza tayari unaungua".
Hekima Ni Uhuru.
mi mwenywe haohao but huku dar...Ndugu tupo pamoja nini? maana nipo Angilikana hapa moro mjini. nimwendo wa sadaka!!
sasa huo ni mchango sio sadaka..Mara ya mwisho kwenda kanisani ni mwaka 2015, tulipewa bahasha ya kuchangia kuanzia 50k ya wanakwaya kwenda Kilimanjaro.
Hapo tulikua tumetoa sadaka ya kawaida na sadaka ya kujenga kanisa.
ndugu yangu..ni kanisa la dhehebu...sio haya yanayochipukia kila kona alias *ya kiroho*Hivi ni lini mtaacha kwenda makanisa ya ajabu ajabu?? Tatizo lenu hata neno la Mungu hamsomi ndio maana mnatangatanga kama kondoo waliopotea. Wewe unaingia kanisani unaona kabisa wanafanya mambo ambayo yako kinyume na Biblia (kama kupakwa mafuta kwa hela ilihali Yesu alisema "Mmepewa bure, nanyi toeni bure") alafu unarudi tena?
Jifunze kusoma neno la Mungu na kumwomba Mungu ili akuongoze upate mahali panapofaa kuabudia, hakika huta tangatanga tena kwenda kwenye makanisa ya ajabu ajabu kama hilo.
acha kabisa
hongerenisabato utoaji upo ila si wa kufanya hivyo, ukisema huna unaachwa. yaan ni hiari yako ila zaka unatakiwa uelewe malaki 10.
kuna nini huko mkuu?Kwa Gwajima
sasa huo ni mchango sio sadaka..
lakini wanakupangia kuanzia 50
[emoji134] [emoji134]
hongereni
Hata kama ni dhehebu kongwe, kama halifanyi mambo yanayofaa achana nalo, tafuta linginendugu yangu..ni kanisa la dhehebu...sio haya yanayochipukia kila kona alias *ya kiroho*
amen mkuu..Hivi unaanzaje kuamini exposition ya MTU,
Jikomboe kifikra, what you THINK is what you BECOME!
Siwezi kumruhusu MTU anitafsirie biblia!
Nasoma mwenyewe, naelewa,sitaki kuwa indoctrinated na haitatokea!
Ipinge hofu na utakua huru!
Sent using Jamii Forums mobile app