Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
ndioSijakuelewa hii 3.78mph ndiyo speed ya upepo katika site yako?
ndioSijakuelewa hii 3.78mph ndiyo speed ya upepo katika site yako?
3.78mph ni speed ndogo sana mkuu haifai kwa mfumo huu.Asantendio
“Atleast upepo ufike 1.5m/second kwa masaa 6 kati ya 24”Sijakuelewa hii 3.78mph ndiyo speed ya upepo katika site yako?
Hii 3.78mph ulimaanisha 3.78 miles per hour? Na siyo 3.78meter per hour?“Atleast upepo ufike 1.5m/second kwa masaa 6 kati ya 24”
Una maana ya 1.5 meters per second ?
Kama ndivyo :1.5 x 1000 meters per 1000 second ?
= 1500 mtrs / 16.6 min,,,
(1500 mtrs = 0.932 miles)
= 0.932 miles/16.6min
1 hr =60 mins,,, 60/16.6mn = 3.614 times
= 0.932 x 3.614 miles/16.6 x 3.614 min
= 3.368 miles per hour
3.36 miles per hour
AU
Kama ndivyo :1.5 x 60 meters per 60 second ?
= 90 mtrs / 1 min,,,
(90 mtrs = 0.0559 miles)
= 0.0559 miles/1 min
1 hr =60 mins,,, (0.0559 x 60) miles = 1 hr
= 3.354 miles per hour
3.36 miles per hour
Tafadhali kwa yeyote anayejua hesabu naomba anirekebishe kama kuna makosa
*Katika minimum wind speed range.Mkuu nitafusilie hiki kipimo cha upepo shambani kwangu kwa kulinganisha na mahitaji ya hizo mashine zako hasa watt 1000 "Wind Speed: 3.78 mph "
Utapata umeme Masaa 6 hadi 7 at maximum load = 6000 hadi 7000 watt hour kwa 24hrsMkuu nitafusilie hiki kipimo cha upepo shambani kwangu kwa kulinganisha na mahitaji ya hizo mashine zako hasa watt 1000 "Wind Speed: 3.78 mph "
Pump submissible yenye 3hp inaweza kuendeshwa na huu umeme?*Katika minimum wind speed range.
Maximam load watt 1000 watt kwa masaa 6 kwa minimum wind speed ya 1.5 meter per second kati ya 6 ndani ya masaa 24.
Mfumo utaweza kusupply 6000 watt hour kwa saa kwa saa 24 at maximam load.
*Kwa medium wind speed range
Maximam load watt 1000 watt kwa masaa 12 kwa wind speed ya 3 per second kati ya saa masaa 10 hadi 14 ndani ya 24.
Mfumo utaweza kusupply 10000 watt hour kwa saa 24 at maximum load.
*Katika required wind speed range
Maximum load watt 1000 kwa masaa 18 hadi 24 wind speed ya 5meter and above per second kwa masaa 14 hadi 20 ndani ya saa 24.
Mfumo utasupply 18000 hadi 24000 watt hour at maximam load kwa saa 24.
Flactuation will affect postively or negatively
Error may reach 200 watt hour hasa kwa kipindi cha joto kali.
Hapana itahitaji mtambo wa watt 2500Pump submissible yenye 3hp inaweza kuendeshwa na huu umeme?
Lazima tujue Air condition(AC) yako moja Imeandikwa inatumia watt ngapi?Mkuu, hiyo ya 1000Watts inaweza kuendesha AC za nyumba? Ngapi?
Safi sana siyo ma solarKwa mahitaji ya umeme wa upepo kwa matumizi ya nyumbani,mashambani na viwandani gharama ni kama ifuatavyo
Watt 100 700,000/-
Watt 200 1,300,000/-
Watt 300 1,600,000/-
Watt 500 2,000,000/-
Watt 600 2,400,000/-
Watt 700 2,700,000/-
Watt 800 3,100,000/-
Watt 900 3,300,000/-
Watt 1000 3,700,000/-
Kwa mawasiliano zaidi piga 0629068815
LIB company