natafuta chumba kimoja msasani !karibuni
Maeneo gani.Maeneo ya Hostel mabibo unazo?Shilingi ngapi?Frem pia zipo
M nataka ya 70 mzee bajet hyo cna uwezo nayo kama ya sabini ipo nistue nakuja kulipa mda huo huo utakaonistuaIpo baruti ya 100,000
Chief Nahitaj vyumba viwili, sebule 'n jiko.. at very reasonable prices.. Viwe around magomeni.. Ubungo.. Sinza..!Sawa nikipata nitakustua
NinazoNatafuta mawasiliano ya dalali wa uhakika maeneo ya kinondoni, msaada tafadhari.
Nakuja chemba mkuuNinazo
Naweza kupata sehemu nikafungua car wash mkuu?Zipo mkuu Tuwasiliane kwa 0713415537
Mkuu kama mtu yupo serious anahitaji nyumba atanicheki nyumba zipo nyingi na vyumba vipo vingi hata nikisema napost kila nyumba hapa haina maana na mfano naweka picha hapa then jioni inachukuliwa kwesho mteja anakuja namuonyesha nyingine unadhani itakuaje? Naamini wakuu niliowapatia nyumba hapa au walionitafuta wataleta ushuhuda.. I just need serious ones, mtu atakaechangia kwa kuponda na kaona namba najua tu sio muhitaji, By the way I have 1 room in my place,here at mwenge near TRA only 90,000/month for 1year hiki hakina dalali mimi ndo faza house mtu akikipenda poa ila nikikupeleka vingine lazima unipe udalali
Zipo
Master zinarange 130k mpaka 200k
Za kawaida nyingi ni 70 mpaka 100k
Bai ni kulingana na ubora wa chumba na pia kulingana na Bosi