Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

Nitafutie masta sebure na jiko ubungo bajeti 250k
Mkuu kuna hii hapa kimara baruti ya 200k, karibu faster, nichek kwa 0173415537 nikutumie picha.
Ila pia nakuchekia ubungo
20190809_074805.jpeg
 
Back
Top Bottom