Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

Kwa yeyote itakayomhusu:

Natafuta apartment nzuri kuanzia maeneo ya Makumbusho kurudi mpaka huku Bamaga.

Bajeti Nina 250k.

Nitapata?
 
Nahitaj chumba master yaaan chumba na choo chake ndani kwa ndani maeneo ya kibo/corner kwa 70k
 
Mkuu kwa tabata(kinyerezi,bonyokwa,segerea,bima)..naitaji chumba
vyumba viwili kimoja kiwe master,sebule,jiko,pia iwe na gypsum na tiles,maji na luku ya kujitegemea...na itapendeza ikiwa ndani ya fensi

Bajeti laki mbili na twenty...220,000
nasubiri jibu mkuu
 
wanajamvi, habari hata mimi ninahitaji upande wenye vyumba 2 na sebule choo na jiko kwa bajeti ya 130000.ila napendelea maeneo ya buguruni ni rahisi na kazini kwangu. asante
 
Room inaweza kupatikana hapo mwenge mkuu?
Mkuu kama mtu yupo serious anahitaji nyumba atanicheki nyumba zipo nyingi na vyumba vipo vingi hata nikisema napost kila nyumba hapa haina maana na mfano naweka picha hapa then jioni inachukuliwa kwesho mteja anakuja namuonyesha nyingine unadhani itakuaje? Naamini wakuu niliowapatia nyumba hapa au walionitafuta wataleta ushuhuda.. I just need serious ones, mtu atakaechangia kwa kuponda na kaona namba najua tu sio muhitaji, By the way I have 1 room in my place,here at mwenge near TRA only 90,000/month for 1year hiki hakina dalali mimi ndo faza house mtu akikipenda poa ila nikikupeleka vingine lazima unipe udalali
 
Back
Top Bottom