Kwa maendeleo haya, JK anastahili pongezi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa maendeleo haya, JK anastahili pongezi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masopakyindi, Jun 12, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  View attachment 56167
  Mlima Hanang kulia.
  View attachment 56168
  Mlima Babati.

  Jamani tumpe haki yake JK kwa maendeleo ya miundombinu inayoenda kwa kasi ndani kabisa mwa Taznania.
  Sehemu kama za Katesh,Babati kwa muda mrefu zilikuwa zikifikika kwa taabu sana,
  Sasa hivi trip ya Singida-Arusha kwa "teksi" ni muda wa saa nne tu.
  Bravo JK!!
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Hilo ni jukumu la serekali mkuu si wanakusanya kodi? Tofautisha kati ya jukumu na fadhila, watanzania wengi wanadhani serekali kuwafanyia kitu ni fadhila wakati sio kweli .
   
 3. M

  Mtanke JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nafikiri hii ni Kazi ya Mkapa na Magufuli wala sio JK!! JK anakamilisha miradi iliyoaasisiwa na Mkapa akishirikiana na Sumaye istoshe miradi yote hiyo ndio deni la Taifa la tr 14 linalokuhusu na wewe yaani sawa na bajeti yote ijayo ambayo nayo ina mikopo mipya mingine. By the way msikilize Sophia Simba kwenye www.chadema.tv kwa CCM maendeleo ni kuvaa nguo zenye rangi changamfu yaani Njano na kijani
   
 4. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  upo chini sana kama adi leo unaona barabara ndio maendeleo,walikuwa wapi miaka yote 50 ya uhuru. vipi ile reli ya dar-Arusha ipo.
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  yaleyale where is extra miles he went so far? that is obvious
   
 6. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kwaiyo barabara sio maendeleo Duu?!
   
 7. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Bado sana, matatizo chongu mzima yamejaa tz hata 1/3 hayajatatuliwa wewe umeona hilo tu. anyway ndio uwezo wako wa kuona mbali sio tatizo lako. eee mola msamehe huyu jamaa
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Hatuna haja ya kulumbana na mtu kama huyu aliye katika giza nene!
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Jamaa fulani aliwahi kusema mna wivu wa kike!!!!
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Si hata Al Shabab wanakusanya ushuru?
  Au hujui hilo!
   
 11. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,174
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Jibu lake wala siyo pongezi. Maendeleo ni haki ya kila mtanzania. JKM atanikonga kama atatuonyesha jinsi kodi yangu inavyotumika!!
   
 12. D

  Dabudee Senior Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umewahi kujiuliza kwa kila jambo moja linalotekelezwa wanachukua "cha juu" kiasi gani kwenda kujengea mahekalu yao?
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si hayo tu. Mashule mengi kuliko wakati wowote ule, Vyuo vikuu vingi kuliko wakati wowote ule, Zahanati nyingi kuliko wakati wowote ule, Huduma Serikali zimeboreshwa kuliko wakati wowote ule, Kilimo cha tija kuliko wakati wowote tokea mkoloni. Barabara za lami nyingi kuliko wakati wowote ule, Maji mingi kuliko wakati wowote ule, Demokrasia imepanuka kuliko wakati wowote ule, Huyu Jakaya Mrisho Kikwete anastahili kila sifa ya uongozi, ni kiongozi wa kutukuka.
   
 14. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Uliza nani amefadhili hizo barabara? ndiyo maana Tz ni ya tatu duniani kwa kupokea misaada baada ya Iraq na Afghanistan. Kwa hiyo cha Kodi hapo. Hizo ni fedha za wenzetu huko nje ambao wamejinyima wao na kutupa sisi. Sasa badala ya kupongezana ni vyema tukaanza kufikiria namana ya kuzikarabati maana wazungu karibia wanatuchoka kwenye misaada, nchi zao saa nazo zinahitaji misaada. So there is nothing to celebrate, instead we should start thinking on what next misaada ikikosekana
   
 15. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Tatizo la magamba longolongo nyingi sana, kwa mtaji huu 2015 kazi mnayo coz people sasa hivi wameelimika sana.
   
 16. U

  Uswe JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  serikali inatakiwa ijenge kilimota 10 imejenga 3 unataka tuipongeze? acha utani dogo!
   
 17. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  yaani hujui kwamba hio ni pesa yako wamesha chezea wee kupanda ndege na kushuka iliobaki ndio hio wao watumie tuje kulipa watu wote deni la taifa hizo barabara wamekopa.
  pesa wanayokusanya toka kwetu wana nunua m vx bmw, volvo na benz na nissan za kutembelea ikulu halafu nyie na sisi tukiugua wabebwa na bajaji .....hospital mtu 3 kitanda moko
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  MS ana ID nyingi sana humu.
   
 19. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  We Fredomfighter, whatever that means! Mimi ni masopakyindi,MASOPAKYINDI,MASOPAKYINDI!!!!
  Na si Malaria Sugu, get that in your pin head.
   
 20. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Katika kumi ukiiba 7 ukabakiza 3 unasifiwa?
   
Loading...