Dada nameless apo key point ni madokta nimetokea kusamini sana kazi yao kwa wachache niliyowaona kiukwel wanajituma na kuipenda kazi yao ambayo ni ngumu na ina challenge nyingi na bado wanaifanya vizuri
Wewe hujielewi halafu hujielewi kama huelewi...
Mkuu wahi matibabu kabla hujapata psychosocial stressor ika trigger your to be diagnosis.... if you know what I mean.... tehe😛