ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,727
- 2,418
Heheheheh.... niliishia KCMC wodini pale.... si unajua ndo home kwangu pale.....
On serious note, hebu ni PM tutongozane kidogo.
Nawapongeza sana madaktari wote mnaopenda kazi yenu na kuhudumia watu kwa moyo mmoja mungu awabariki sana na azidi kubariki kazi zenu kwani huo ni wito.
Nawapenda sana madaktari hata nikisema niolewe Mungu anipe doctor ili niwe namtia moyo kwenye kazi yake aweze kuifanya vizuri.
Mungu wabariki madaktari wote wanaotimiza wajibu wao.
Ameen
Haleluya Mosha nashukuru mungu mchumba ninae tayari nae anafahamu ni jinsi gani naisamini kazi yao
mind za aina hii ndio zinawafanya watu wasifanye kazi.
ukiwa na mawazo kama haya hata shukrani ya mdomo tu baada ya kuhudumiwa hutoi.
unajua kwamba watumishi wa afya wanafanya kazi kupita muda wao wa kazi na wengi hawajalipwa stahiki zao?
unadhani wangekuwa wana mawazo ya kufanya kazi kama wajibu kulingana na malipo mngehudumiwa?
Where is origin and insertion ov GASTRICNEMIUS muscle if your real medical personel
Where is origin and insertion ov GASTRICNEMIUS muscle if your real medical personel
Hahahahaaaa.....wamekusikia. Ila ni wajibu wao kutoa huduma kwa sababu wewe unalipia lkn pia wanapokea mshahara kwa kazi hiyo.
Mi nitumie nafasi hii labda kuwatia moyo na kuwapongeza waalimu wote (isipokuwa wa vyuo) popote walio
mind za aina hii ndio zinawafanya watu wasifanye kazi.
ukiwa na mawazo kama haya hata shukrani ya mdomo tu baada ya kuhudumiwa hutoi.
unajua kwamba watumishi wa afya wanafanya kazi kupita muda wao wa kazi na wengi hawajalipwa stahiki zao?
unadhani wangekuwa wana mawazo ya kufanya kazi kama wajibu kulingana na malipo mngehudumiwa?
Huu ni wivu wa kimaslahi!!
Sisi wenyewe tunaona serikali haijatujali vya kutosha na inadharau sekta ya afya kwa kiwango cha kutishia maisha ya wananchi!.. wewe unaleta majungu badala ya kuungana na hao walimu wenzako kutetea maslahi yenu na jamii kwa ujumla
Where is origin and insertion ov GASTRICNEMIUS muscle if your real medical personel
Bahati mbaya hujanielewa. Umenielewa 40%!!!!
Wewe hujielewi halafu hujielewi kama huelewi...
Mkuu wahi matibabu kabla hujapata psychosocial stressor ika trigger your to be diagnosis.... if you know what I mean.... tehe😛
Haleluya Mosha nashukuru mungu mchumba ninae tayari nae anafahamu ni jinsi gani naisamini kazi yao
Dogo acha kutuletea ucadaver hapa!!
We vipi weweee!!
Pole sana dogo. hata gastrocnemius hujui kuandika, bla shaka we ni 1st yr af BRN generation
Hahaha..!! af dogo 1st year.Hajui kuna walim wake humu
bla, af,walim.
Jisome kwanza wewe kama ulivyoandika ni sawa.
Hahaha..!! af dogo 1st year.Hajui kuna walim wake humu