mind za aina hii ndio zinawafanya watu wasifanye kazi.
ukiwa na mawazo kama haya hata shukrani ya mdomo tu baada ya kuhudumiwa hutoi.
unajua kwamba watumishi wa afya wanafanya kazi kupita muda wao wa kazi na wengi hawajalipwa stahiki zao?
unadhani wangekuwa wana mawazo ya kufanya kazi kama wajibu kulingana na malipo mngehudumiwa?