MkamaShapu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 317
- 170
ambaye ni nani?
Hajui kama siku hizi mbunye mnauza......
mkono mkavu haulambwi....
Hajui kama siku hizi mbunye mnauza......
add me pls
Mbunye inahudumiwa na si kuuzwa
kashangae feri
mbunye inauzwa. mke anahudumiwa.
ukiona mwanaume ana hudumia mbunye ujue he aint a wise man.
Mwanaume yeyote lijali yupo after MBUNYE only mengine mbwembwe tu
Siyo kila anaekujibu ana mtu wake ni kweli kuwa ana mtu, hilo ni moja ya jibu kwa mkaka usiyemuhitaji. Sasa wee badala ya kujichunguza kwanini ukataliwe kwa sababu hiyohiyo, we unawaza madada wapo wengi zaid ya wanaume. Kalagabaho!
ladies weng huwa wanafanya hvi ili kujua kweli una nia uendelee kukomaa lakin inategemea na characters za mtu. Kuna wengne ukishamwambia nina mtu basi anaheshimu hiyo kauli na hatarud tena. Sasa kama ulikuwa unamdanganya kumbe nawe unampenda ndo unaanza kujigonga kwake sasa tutext twa mara kwa mara ili uone kama atakutongoza tena
unaonekana huna swaga za kutongoza ndiyo maana unapewa maneno hayo
Sio swaga za kutongoza mwambie hana cash za kumkamata mwanamke.
sio kila wakati mwanamke anaposema nina mtu huwa labda hamuitaji huyo kaka, wakati mwingine ni swaga za ku-buy time(hard to get) na mkaka huyo aendelee kushuka mistari na baada ya muda fulani atakubaliwa.