Swaga unatupia vingi pesa maneno eneo la mtongozo.. approach yako action zako .... si unanitongozea barabarani unategemea nikujibu nini? Au unaandika sms kama kitabu babu wewe mpesa isome kwanza ndiyo tupeane.maelezo
nyingine mbwembwe tu...mpango mzima huo
Pole kwa swaumu
nashangaa sana hili jambo inajulika madada wapo wengi zaid ya wanaume sasa kila demu nae m aproch anasema ana mtu kila demu ana mtu wake cmbaya lkn chakushangazaa vijana wanadai wako single hii inamaanisha KILA MWANAUME ANA MADEMU WENGI ILA MADEMU HAWAJALITAMBUA HILO

Hahaa....bongo hii wanaume wote wako singo na wanawake wote wana watu wao
Siyo kila anaekujibu ana mtu wake ni kweli kuwa ana mtu, hilo ni moja ya jibu kwa mkaka usiyemuhitaji. Sasa wee badala ya kujichunguza kwanini ukataliwe kwa sababu hiyohiyo, we unawaza madada wapo wengi zaid ya wanaume. Kalagabaho!
nafac iko wazi karibu saaaana
mi ninao watano plus faster faster aka one nite stand wasiohesabika!
kabisaaaaaaaaaa kutoziumiza hisia zake unaona bora umwambie nina mtu kuliko umwambie ukweli kuwa huna vigezo/sifa nazotaka
Ndiyo ninae
unaonekana huna swaga za kutongoza ndiyo maana unapewa maneno hayo
Ha ha ha ha unaniandikia barua wakati sina hela hata ya maji kumezea maneno yako...