Siyo kila anaekujibu ana mtu wake ni kweli kuwa ana mtu, hilo ni moja ya jibu kwa mkaka usiyemuhitaji. Sasa wee badala ya kujichunguza kwanini ukataliwe kwa sababu hiyohiyo, we unawaza madada wapo wengi zaid ya wanaume. Kalagabaho!
kwan ww una mtu
Pole kwa swaumu
nashangaa sana hili jambo inajulika madada wapo wengi zaid ya wanaume sasa kila demu nae m aproch anasema ana mtu kila demu ana mtu wake cmbaya lkn chakushangazaa vijana wanadai wako single hii inamaanisha KILA MWANAUME ANA MADEMU WENGI ILA MADEMU HAWAJALITAMBUA HILO
we unao wangapi????
hadi raha
unaonekana huna swaga za kutongoza ndiyo maana unapewa maneno hayo
Hahaa....bongo hii wanaume wote wako singo na wanawake wote wana watu wao
si umwambie tu hana hela nani anashida na swaga!! nakunukuu wewe.