Kwa lipi Lowassa apewe nchi?


kwa sifa zipi mkuu? Maamuzi magumu ya kujiuzulu au una lingine? We need those qualities of Lowassa
 
Ndivyo Mlivyo wote, hakuna mwenye unafuu. Afadhali hata huyo Fisadi Papa, ambaye tayari ameishafisadi vya kutosha sasa hatakuwa na muda wa kufisadi kuliko nyie ambao ni Vifisadi Dagaa.
 
Ndivyo Mlivyo wote, hakuna mwenye unafuu. Afadhali hata huyo Fisadi Papa, ambaye tayari ameishafisadi vya kutosha sasa hatakuwa na muda wa kufisadi kuliko nyie ambao ni Vifisadi Dagaa.

Kwa taarifa yako mpaka sasa kashatumia Bln 13 hapo campain hazijaanza cjui atatumia ngapi zikianza cha kukusaidia tumia akili kuwaza sio masikio
 

Mbona woga umekuzidi? Tuseme NO kwa Lowassa campaign halafu tuseme YES kwa campaign ipi? Badala ya kuzunguka na campaign ya NO kwa Lowassa zungukeni na campaign ya YES kwa mtu wenu. Kwa woga wenu huu Lowassa ni Rais kabla mwaka huu haujaisha
 


USHAURI KWA WAPINGA LOWASA:
1. Tumieni watu wenye akili timamu ili hata pumba wanazoandika zisomeke angalia hapo kwenye blue juu
2.Nchi ni lazima iwe na rais kuanzia November na rais huyo sio JK, Lazima tuchague mtu kutuongoza. na
katika ccm hakuna zaidi ya Lowasa labda muamue kuangusha chama,
 
Kwa taarifa yako mpaka sasa kashatumia Bln 13 hapo campain hazijaanza cjui atatumia ngapi zikianza cha kukusaidia tumia akili kuwaza sio masikio

Afadhali mimi ninayetumia masikio kuliko wewe unayetumia fitina kuwaza, sasa kama unampinga Lowasa mbona huniambii nani anafaa zaidi yake, yaani Plan B !!! Mimi nimekwambia wote ndivyo mlivyo kuna Madisadi Papa Vifisadi Dagaa, ndivyo ninavyoamini, kwa hiyo ni kazi kwako, ni imani yangu kuwa Vifisadi Dagaa vikikua vitakuwa Mapapa. Aidha, wabeba mikoba kama wewe mnatumiwa na Vifisadi Papa bila kujitambua.
 

Kwani JK alikuwa kafanya la maana lipi hadi akapewa nchi.
 
sidhani kama lowasa atakua chaguo sahihi
 
Mwenyekiti wa CCM kisha sema wote waliojitokeza hakuna hata mmoja atakuwa Raisi ila yule ambaye hajajitokeza ndio atakuwa,mbona hamuelewi?
 
Yupi bora, anyeiba, anafilisi nchi na hafanyi kazi na yule mchapa kazi ila anasingiziwa kuiba.
LOWASSA ni zaidi na katika wote hao wanaojinasibu kuingia magogoni hakuna anayemuweza kwa kuchapa kazi na kuwajali waliowengi.
Jiandaeni tu kumpigia kura acheni majungu yenu.
 

wengi akina nani mkuu? Sasa ulitaka afanye nini wakati ni wajibu wake? Hata wengine ni wachapa kazi ila sio huyu mwizi pia ni sehemu ya wajibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…