Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Hakuna kati ya hao waliokwisha jitangaza anayefaa kutufikisha kaanani yetu.
 
Raisi wa monduli labda.
 

pesa ni zaidi ya mchawi, Lowassa kawaroga kabisaaa.
 
mzee warioba ameshatufunguwa macho kuwa wanaozunguka ni sawa na watoto waliyo tangulia sokoni bila pesa wakati baba amebaki nyumbani na pesa za kununulia vitu sokoni!!!
january na february wametangulia tu sokoni hawana pesa za kwenda kununulia vitu hko!!!
 
Nimeipata hii kuwa nec.inampango wa kumsimamisha dr.shein na mgombea mwenza atakuwa no lowassa katika kinyang'nyiro ya kiti cha urais wa Tanzania.hii ni kudhibiti makundi na mgawanyiko ndani ya chama hicho ambayo kwa sasa hivi iko taabani.hii inatokana na mgawanyiko na makundi yalioko kwenye chama kwa sasa.nawasilisha muweze kujua hili
 
kama lowassa anaweza kuwa makamu wa rais basi shein endapo atabahatika kuwa rais atakufa ndani ya miezi sita na lowassa anaapishwa kuwa rais..mafioso
 

Unapima upepo kwa kuzungusha ungo wa kupepetea hayaaaa
 
Nyie CCM jidanganyenu muweke muislam tena awamu, mtajuta kuijua Tanzania
 
kama lowassa anaweza kuwa makamu wa rais basi shein endapo atabahatika kuwa rais atakufa ndani ya miezi sita na lowassa anaapishwa kuwa rais..mafioso

Una maana gani kaka kwa kusema hivyo.atakufa vipi fafanua?
 
Mwislamu tena!! Hiyo haipo mzee, na wakifanya hivyo wajue UKAWA njia nyeupe..
 
ccm hawamuwezi lowassa,wakimkataa kwenye maoni na sisiemu inakufa kifo cha mende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…